Search results

  1. jogoo wa maajabu

    Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

    Wakuu habari za muda huu. Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara naomba unipe support ya elimu kuhusu kilimo hiki na maeneo yanayofanya kilimo hiki maana kuna siku...
  2. jogoo wa maajabu

    Wapi nitapata vifaa vya machine za zamani Lister Petter

    pole na majukumu ya kutwa wapendwa, Nyumbani kwetu kuna machine zile za zamani Sana zinaitwa Lister Peter tulikuwa tunaitumia zamani Sana kwa matumizi ya kusaga nafaka. Sasa nimekuwa kijana mwenye kujieleewa nataka niitengeneze upya niitumie ktk Kilimo cha umwagiliaji ama mgodini kusukuma...
  3. jogoo wa maajabu

    Mwizi ananiibia ndizi shambani

    Habari zenu wanandugu natumaini mtakuwa salama sana Miezi 10 nyuma nilifanikiwa kununua eneo nikiwa bado najichanga changa nione nitalifanyia nini hili eneo liweze kunipa matunda muda huo ikanibidi nianze kulipanda ndizi nikaanza kuchimba mashimo ya migomba kwa mikono yangu na nilipoona...
  4. jogoo wa maajabu

    Kuna mtu anayejua mmiliki wa Mabasi kampuni ya "Zakaria Airbus" inayotawala njia ya Tarime- Mwanza alipo sasa hivi atujuze

    Wapendwa najua mtakuwa wazima sana moja kwa moja twende katika mada yangu ya leo...japo uandishi wangu ni 0 kwa wakazi wa Tarime na Kanda ya Ziwa kwa ujumla najua mtakuwa mnamfahamu huyu tajiri wa mabus yenye safari zake Tarime kwenda Mwanza na Tarime kwenda Arusha kupitia njia ya Serengeti...
  5. jogoo wa maajabu

    BEI YA ASALI KENYA.

    wakuu kwa sasa nafanya biashara ya asali kanda ya ziwa na dar es salam, hakika inanifanya niishi vizuri sana ila natamani kufika mbali sana kibiashara, imefika nyakati nataka nianze kufanya biashara njee ya nchi ila kama kuna mtu mwenye kujua bei ya ASALI kenya kwa vipimo tofauti tofauti...
Back
Top Bottom