Hata mimi huwa nashangaa hicho kitu pia
Moja ya vitu vinanipa furaha kwenye maisha ni kuwala mademu wakali wakali.
Sasa inakuwaje mtu anashindwa kutamani demu mwenye t..ako anaenda tamani mwanaume mwenzie??!!!
Hahaa hapa mimi Mwaka 2030 nina malengo ya kununua my dream car Rav 4 new model ila sio ile new model saaaana nataka ile toleo la kati.
Wacha sasa hivi nipige ugali dagaa, jero jero mpaka mwaka huo nitanunua tu.
Huyo mtu angejua hayo maisha watu hata hatujayaishi wala tunayaota.
Ni sawa ila darasa la saba walio successfull ni wachache ila elimu imeleta ukombozi wa msingi sana wengi wa wasomi wamepata unafuu wa maisha.
Ni dhana potofu kusema kuwa bakhresa hana degree na amefanikiwa bila kupitia historia yake amefanikiwa na nini kwa njia gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.