Wakuu Salaams..
Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express..
Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza.
Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo.
Quadro Fx3500, Resolution 2560 X 1440 pixels = 2k
Good and Powerfull for Gaming and Graphics..
I was using it for video editing...
Nakupa na vga cable yake
Price 70k
Kuna ile code namba ya Malipo na huduma za serikali. Siikumbuki ila anaye jua ataiweka hapa. Ingia pale select luku kama umepoteza token kuna huduma pale unaandika namba ya luku then unaomba roken za muamala wa mwisho.. Done
Period... Umemaliza mkuu. Kama ni wali umekula hadi ukoko..
Kuongezea nyama nyama. Saidia wasiojiweza na wenye uhitaji katika pita pita zako.. Ni moja ya sadaka kwa Mungu..
Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI.
Mnasifia sana utawala uliopita kwasababu maisha yalikuwa rahisi. Unakaa tu maskani ukipiga simu 1 elfu 10 inaingia.
Your living standard inatengenezwa na juhudi zako mwenyewe siyo serikali.
Pole sana mkuu Sodoku jikite katika maombi usimsahau mungu wako aliyekupa maisha mazuri kwani ndio huyu huyu anayekupitisha katika mtihani huu ili kukufundisha jambo ambalo naamini mpaka sasa hujalifaahamu..
Amini Mungu hakupi mtihani usio uweza. Utashinda ukimtegemea yeye.
Pengine alitaka...
Hivi wakibana Nani kati yetu atakuwa na hali nzuri.. Tuombe serikali itafakari hili ije na mustakabali ambao hautamuumiza mwananchi...
Siyo kusema wajamaa wabane...
Shit happens mkuu.. na mlango 1 ukifunga basi kuna mwingine unafunguka..
Always mungu hakupi mtihani usiokuwa na uwezo nao.. Umeanguka inuka jifute vumbi anza upya..
Angalia uko vizuri kwenye sekta gani aidha biashara au kinginecho anza mdogo mdogo utatoka tu..
Always never give up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.