Search results

  1. othuman dan fodio

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Halafu ayatollah kamenei ana mademu kama elf4 kwenye kasri lake.
  2. othuman dan fodio

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Hayo ni maoni yangu muda ana ujinga mwingi uwanjani.
  3. othuman dan fodio

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Maxi pia anao huo ujinga wa kukaa na mpira mpaka unachukuliwa sema yeye angalau huwa anabadilika.
  4. othuman dan fodio

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Muda anazingua sn zile game alizofanya vizuri ulikuwa ni upepo tu lkn hana consistence uwanjani. Aachwe tu.
  5. othuman dan fodio

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Wengine wakizingua mama anawapiga kalamu tu hakuna kuhojiwa lkn bashite anaitwa kubembelezwa huyu bashite ccm ilishamshindwa kabisa.
  6. othuman dan fodio

    Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kama kifo kimetokea arusha huyo jamaa si ndio yupo huko au
  7. othuman dan fodio

    Amepotea na hajulikani alipo kwa wiki kadhaa sasa

    Ana akili timamu au mental retard?
  8. othuman dan fodio

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Zilipendwa hizo halafu maneno sio msaafu kwamba hayabadiliki. Akizingua analiwa tu kichwa
  9. othuman dan fodio

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Haijalishi ila anzingua sn yule mpemba akiwa na mpira haangalii nyuma yake nani anakuja wanamkaba na kichukua mipira kirahisi pasi anazotoa ni mkaa, nafasi ya muda apepe kiungo punda mkude muda aende ihefu.
  10. othuman dan fodio

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Muda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
  11. othuman dan fodio

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    Na huo ni msemo wa T.I.D au?
  12. othuman dan fodio

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Ukute hata mtoa mada mkeo naye hakupendi yupo kwako kwa sababu flan flan hv.
  13. othuman dan fodio

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Mkurugenzi hata hajakutwa na hatia mahakamani tayari kashawajibishwa makonda anatuhumu mawaziri, anadharirisha watumishi anakataa kupanda gari la mkuu wa mkoa lenye bendera ya Taifa na kumpakiza mtoto wake huku yeye akipanda gari la watalii haitwi anaachwa ofisini. Hv huyu makonda ana nn huko...
  14. othuman dan fodio

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Sasa kama alijua haitapaa kwa nn alipanda? Professional nae ni wamchongo tu. Yanga piga simba hiyo.
  15. othuman dan fodio

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    America [emoji631] play mind game tu kwenye hilo suala. Iran aingie kichwakichwa ndio utajua America anaingiaba au lah
  16. othuman dan fodio

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Ukiona hivyo ujue bado hujaelewa dhima ya mchora katuni.
  17. othuman dan fodio

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Tena hiyo laki ya juu aliniletea mm msela wake ambaye ndio nipo kwenye hili geto aliloliacha. Alisema amelipata mbwigira mbwigira mmoja hv anamalizana nae kwa maana hajui show.
Back
Top Bottom