Search results

  1. Mr worldwide

    Hii mimba sihusiki nayo kabisa...

    Wakuu Tuendelee kuchukua tahadhali na kujikinga dhidi ya COVID19. Ni wiki sasa imepita tangu nilipokutana na kushirikiana mwanamke mmoja hivi hapa Jijini Dar es Salaam Kiukweli nilimsukumia kitu pekupeku maana sijazoezoa habari za kula pipi na ganda lake. Specifically ilikua 27 April, leo hii...
  2. Mr worldwide

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Maisha magumu ni kwako tu Jf wengi ni good life
  3. Mr worldwide

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuu mimi nilikua muoga zaidi yako Jitoe tu, risk zipo kila sehemu Nunua chombo utafute bodaboda mzoefu na anayeaminika kijuwe fulani mpe kazi akutafute dereva mzuri..usikurupuke Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mr worldwide

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkataba ni makabiziano tu kwamba umemkabizi dereva pikipki, kila siku ataleta kiasi fulani basi Pikipiki anashinda na kulala nayo kama yake vile Service ikitokea mnakutana mnarekebisha, kila baada ya siku 7 mnabadili oil na hapo ndio unapata wasaa wa kuikagua pikipiki pia Kinachosumbua ni...
  5. Mr worldwide

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Ungemuuliza huyo jamaa angekupa majibu sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mr worldwide

    Wanafunzi 100 wapata mimba ndani ya miezi mitatu

    Habari Jf Hii imetokea huko mkoani Ruvuma wilayani Tunduru, katika kipindi hiki cha covid19 wanafunzi 100 wamepata ujauzito Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Pikipiki bado ipo
  8. Mr worldwide

    Mchanganyiko huu ni dawa ya haraka sana ya kuondoa mafua, kufungua kifua

    Kipindi hiki cha corona mtu akiambia dawa ni kinyesi cha mtoto atakula tu Tuwe makini na hizi tiba kila mtu anazitoa
  9. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Sharti gani gumu
  10. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Fika bei uifuatwe!
  11. Mr worldwide

    Dakika chache kutoka Sasa naanza kupiga Nyungu.

    Pole sana mkuu Hii kitu haikusaidii kitu its better ukaendeleza dozi ya juisi ya tangawizi na limao Kikubwa stay home, kula vizuri Jifanyishe vimazoezi vya hapa na pale ukiwa ndani kuepuka kusambaza corona huko Kijana wewe usiogope utapona Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Ikubali wewe
  13. Mr worldwide

    Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

    Huwezi pata michango ya wadau humu katika mambo ya msingi kama haya Ila anzisha thread za kutoomba na kutoombwa utawakuta watalaamu wamejazana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Karibu mkuu
  15. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Usiogope wewe tu
  16. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Kadi ipo, bima utaenda kulipia mwenyewe
  17. Mr worldwide

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Mtu chake mkuu
Back
Top Bottom