Search results

  1. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Habari wakuu,naomba muongozo nahitaji nipate kifaa cha internet ambacho ni UNLIMITED.,watumiaji tupo kama 32.Je ni kifurushi cha bei gani kitatufaa kama staff?zingatia kwamba mimi ni mwalimu.🙏🙏
  2. Ifururu

    Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Hazijavuja ,wameuza wenyewe maana sio bahati mbaya kinachotokea,fikiria unafanya se na menzi wako lakini mwanaume unajificha maungo yako hayaonekani,means upo kwenye misheni. Mange anaingiza zaidi ya 300M,akimpa Aslay 100M wana hasara gani?
  3. Ifururu

    Natafuta Mwalimu wa Kozi ya Excel

    Namaanisha bei ya mafunzo iwe afordable mkuu
  4. Ifururu

    Natafuta Mwalimu wa Kozi ya Excel

    Mimi hapa bado nahitaji ila gharama ziendane na maisha ya sasa,nisiwe fursa
  5. Ifururu

    Watumiaji wa simu za Google Pixel pitieni hapa

    Vipi tatizo la finger print?mimi kwangu nlipo update tuu ikagoma inaniambia no hardware
  6. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi nina google chrome cast nikuuzie 25k
  7. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Umenipa bonge moja la wazo mkuu
  8. Ifururu

    App ya movie (Movie Box Pro)

    PM kama bado mkuu Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
  9. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa?? Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
  10. Ifururu

    Hatimaye mrithi wa Mwalimu Mwakasege apatikana

    Huyu alianza vizuri sana ila sasa hivi amwshakuwa kama Influencer,motivational speaker,ameacha kanisa lake hapa Morogoro ameamua kuzurura.Mimi ni muumini wake sana ila alipoanza kudeal na akina mama nikaghadhabika sana. Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
  11. Ifururu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Code mkuu Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
  12. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kuwa na amani mkuu,huduma hii wanatoa wao wenyewe tigo.Sio mtu binafsi,hata mfumonwa ulipiaji unalipia tigo wao wenyewe.piga 100 uulize tigo kuhusu hiyo kitu.
  13. Ifururu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Brugge anaharibu,sijui nimemuweka wa nini yan
  14. Ifururu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Brugge camoooon maza fanta,pata goli basi
  15. Ifururu

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Na vipi kama nataka kupanda au ku upgrade kifurushi changu? Mfano nina cha gb15 kwa 15k,sasa nataka nipate cha 15k gb 10 na dk 400.. Vipi inawezekana hii??
  16. Ifururu

    Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Serikali inaibiwa sana kupitia huu mfumo na haioni tatizo imekaa kimya kuamini sana kila kitu kinaenda sawa. Mifumo inachezewa fedha zinaibwa kila uchao. Hizi control namba ndo zinaibiwa balaa. Si mnakumbuka jamaa wa Iringa aliyechezea max malipo? Sasa serikali inapigwa sana na watu wamekaa kimya.
  17. Ifururu

    Hivi hakuna maujanja yoyote ya kuweka Password kwenye SMS tu pasipo kutumia Applock yoyote?

    Ile app ya sms za kawaida nime ihide, then nikai disable. Hivyo sio rahisi ionekane.
  18. Ifururu

    Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Mimi binafsi nampongeza rais kwa kuwakodishia bandari wabia wengine. Bandari pengine inaleta faida kidogo sana na janja janja zimekuwa nyingi mno. Mheshimiwa rais angalia na namna ya kubinafsisha mashirika mengine kama vile tanesco na mashirika ya maji. Mashirika haya yamefanya kazi kwa kusua...
  19. Ifururu

    Hivi hakuna maujanja yoyote ya kuweka Password kwenye SMS tu pasipo kutumia Applock yoyote?

    Mimi nmepakua hii mood sms lakini bado naona mapicha picha, kile kama kikalamu pale chini ukishalock some sms kinabadilika kinakuwa chekundu na kinaonesha kikufuli. Sasa sisi wengine wake zetu ni wajanja, wasomi
Back
Top Bottom