Search results

  1. beauty in me

    Pata Mkopo wa viwanja vilivyopimwa

    Jipatie kiwanja chako sasa kwa Mkopo wa miezi 72. Viwanja vyetu vimepimwa vina hati miliki kutoka wizarani. Malipo ya awali ni 25% kisha iliyobaki utailipa taratibu kila mwezi kwa miezi 72 Katika kila picha hapo chini kuna maelezo yote ikiwemo bei per sqm Karibuni. Tupigie +255625142895
  2. beauty in me

    Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

    Lipia 50% ya gari unayotaka kisha lipia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 24 huku ukiendelea kutumia gari lako. Below ni check list yetu Kwa maelezo zaidi Pm
  3. beauty in me

    Miliki nyumba yako ndani ya miezi sita tu

    Tunakuletea mkopo kabambe wa ujenzi wa nyumba. Tunatoa mkopo wa kujengewa nyumba ambapo utajengewa nyumba yako na kukabidhiwa funguo zako kisha kuanza kutumia nyumba yako utakavyo wewe. Jinsi ya kulipia utaanza kwa kulipia 20% ya gharama zote za nyumba unayotaka kisha kiasi kilichobaki...
  4. beauty in me

    Simu aina ya Huawei P8 lite inauzwa

    Huawei P8 lite Android version 5.0.1(6.0.0) Internal Memory Gb16 Ram 2Gb Primary Camera Mp 13 Secondary Camera Mp5 4G network support. Imetumika miezi minne tu nauzia shida ilikua yangu mwenyewe[emoji17] Bei Tsh 270,000 haipungui cent tano Karibuni
  5. beauty in me

    Kitanda na godoro 6*6 pamoja na kabati lake

    Vinauzwa vyote kwa pamoja kama vinavyoonekana kwenye picha ni imported from Italy Vipo Morogoro mjini popote natuma kwa gharama zangu. Tsh 760,000
  6. beauty in me

    Smart TV plus Zuku decoder for sale

    Tsh 850,000 available in Dar 40 inch Haina shida yoyote
  7. beauty in me

    Nafasi ya kazi Dar, Arusha na Mwanza

    Wanahitajika maafisa mikopo mikoa ya Dar na Arusha VIGEZO Uwe na uwezo mzuri wa kuongea na kujieleza kwa kujiamini mbele za watu wengi. ELIMU Uwe umemaliza kidato cha nne MSHAHARA Tunalipa kutokana na kazi unayoifanya kuanzia 15,000 kwa siku. Iwapo kila siku utaleta watu wawili tu utalipwa...
  8. beauty in me

    Smart LED TV Samsung and LG 43 inch

    Ni mpya kabisa hazijawahi kutumika ipo Samsung na LG bei laki 7 fixed price zinapatikana kwa order unapokea mzigo baada ya saa 24
  9. beauty in me

    Kitanda double decker 3*6 kinauzwa

    Vilikua vinatumiwa na watoto vinauzwa na magodoro yake..pia utapewa na net yake ya chuma Vitanda vyote ni vya chuma mpaka chaga ni chuma Bei 440,000 haipungui Picha njoo 0764767407
  10. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    SEGUIN CREDIT INVESTMENTS Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu: a) Mikopo ya dharura b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara c) Ada za shule. - Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu...
  11. beauty in me

    Nataka kuwa machinga wa kike ushauri

    Habarini wajasiliamali Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa elf 20 Mimi niko mkoani Arusha
  12. beauty in me

    Sony smart tv for sale

    Ina 32inch imetumika miezi 8 hapana tatizo lolote Bei 460,000 Point of correction: ni LCD TV
Back
Top Bottom