Simu aina ya Huawei P8 lite inauzwa

beauty in me

Senior Member
Dec 27, 2017
161
134
Huawei P8 lite Android version 5.0.1(6.0.0) Internal Memory Gb16 Ram 2Gb Primary Camera Mp 13 Secondary Camera Mp5 4G network support.

Imetumika miezi minne tu nauzia shida ilikua yangu mwenyewe

Bei Tsh 270,000 haipungui cent tano

Karibuni

IMG-20180215-WA0011.jpg
IMG-20180215-WA0016.jpg
IMG-20180215-WA0015.jpg
IMG-20180215-WA0014.jpg
IMG-20180215-WA0012.jpg
 
Imetumika miezi minne tu nauzia shida ilikua yangu mwenyewe

Bei Tsh 270,000 haipungui cent tano.

Mkuu kama Unahitaji kuiuza hiyo simu kwa haraka kubali kupunguza bei, simu ni nzuri ila ni toleo la zamani. Kama Akitokea hata mtu wa 170k uza fasta utatue shida iliyokukabili.
 
Mkuu nishauza kitambo asante kwa comment yako a.k.a povu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom