Search results

  1. Jan-uary

    Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

    Iko siku tutapigwa marufuku hata kuoa/kuolewa na wageni, kwasababu ya huu wanaouita uzalendo. Nasamaje Yanga wapigwe hata dazani,mimi sio Mzalendo hata ingekuwa taifa Stars ningesema hivyo hivyo wapigwe tu
  2. Jan-uary

    Tazama jinsi Biashara ya pombe ina hela sana

    Sio wa daladala anafunga mali Kariakoo na kupeleka sehemu,umbali km zaidi ya 1,000 kutoka Dar.
  3. Jan-uary

    Tazama jinsi Biashara ya pombe ina hela sana

    Kuna mtu ana risk 67.5M (25,000$)ili apate faida 2,796,400,hapo vipi?
  4. Jan-uary

    Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

    Nilikuwa naye mmoja mumewe mtu wa masafa marefu,Jamaa akipiga simu, ananiambia tulia kwanza niongee na huyu Fala,hapo kaikalia. Namshukuru Mungu niko salama,na staki tena Mke wa mtu.
  5. Jan-uary

    Tatizo la uhaba wa Dollar ni kubwa

    Wa 2,800 aje haraka
  6. Jan-uary

    Tatizo la uhaba wa Dollar ni kubwa

    Mnhhhuu!!! Hujatia chumvi?
  7. Jan-uary

    Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

    Ajinyonge tu kabla hajatumiwa Wahuni wa kumshughulikia.
  8. Jan-uary

    Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

    Na wale wenye miaka 40 mpaka 50 waliotembea na mwanaumme mmoja tu nao ni PC kali?
  9. Jan-uary

    Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Nakukumbusha tu Mkuu,hujaweka namba yako ya simu.
  10. Jan-uary

    Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

    Daaa kuna ndugu alipata ajali,mwaka wa 16 sasa masikio yake yanavuma,kama yanapiga manyanga.
  11. Jan-uary

    Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Wakati DP world wakipigwa vita wasipewe bandari huko misikitini mlikuwa mnasemaje vile?
  12. Jan-uary

    Naomba ushauri kuhusu usonji

    [emoji24][emoji24][emoji24] Kuna ndugu yangu mwanaye ana miaka miwili sasa,anapewa matumaini tu Hooo mwanao akifikisha miaka mitatu au minne ataongea,wako ana miaka sita na haongei,Madaktari wanasemaje Mkuu?
  13. Jan-uary

    Nitajiunga CCM Makonda akiwaita wanajeshi kama anavyowaita Mawaziri

    Unaweza ukawa Mwanajeshi bila kuwa na kadi ya CCM inawezekana?
  14. Jan-uary

    Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Wengine tulishakula viapo, hata awe nani wa CCM sipotezi muda wangu kwenda kumsikiliza.
  15. Jan-uary

    Mlowo, Songwe: Makonda akataa kutumia jukwaa aliloandaliwa, ashuka haraka na kutumia gari lake kuzungumza na wananchi

    Hata kama ndugu zako wote walishakufa,hivi huna hata majirani wa kukushauri uache kujidhalilisha? Huko kulambalamba viatu vya viongozi wa CCM na serikali ni zaidi ya kuudhalilisha utu wako.
  16. Jan-uary

    Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

    Ulikuwa bado hujazaliwa umesahau ulichosimuliwa kuhusu Magufuli.
  17. Jan-uary

    Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Hasira za ugumba wa kujitakia.
  18. Jan-uary

    Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

    Umemsifia na kuvuka mipaka,utakuwa huna nia njema na Makonda.
Back
Top Bottom