Search results

  1. A

    Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Lipo maeneo gani hlo shamba mkuu,
  2. A

    Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Mkuu tatizo mtaji.napenda sana kuwekeza ktk kilimo.kilimo kinahitaji investment ya kutosha,
  3. A

    Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Habari.Mimi in kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26 ninaitwa Asante Mbagule Njehani kabila langu ni Mpogoro. Natafuta kazi yoyote inayohusiana na taaluma yangu KILIMO NA MIFUGO.nimesoma general agriculture na nimefuzu katika ngazi ya astashahada na stashahada kwa muda wa miaka mitatu...
  4. A

    Sifa za jiji

    Kuwe na bahari,beach,ziwa au MTO,,,,,
  5. A

    Wanawake punguzeni ukatili

    Malipo ni hapa hapa duniani,,usaliti unauma sana,
  6. A

    Nafasi ya kazi next Mary Tanzania limited

    Kwa Dodoma mnapatikana mtaa gani? Nipo dodoma nimesoma general agriculture nimemaliza 2016 so naweza nikapata hyo fursa kwa Dodoma?
  7. A

    Nafasi za kazi Azam company limited zimetoka tuma maombi

    Samahanini jamani kwenye hyo application form upande wa CV wanaandikaje????
  8. A

    Mpenzi wangu wa zamani anataka tuwe marafiki wa karibu baada kuachana

    Duuh kumfanya mpenzi wko wa zamani kuwa rafiki yko ni sawa na kuchukua muwa na kuufanya fimbo y kutembelea na pale utakaposikia njaa au kupata hamu utauchukua fasta na kuula muwa ule
  9. A

    Kabla sijachukua maamuzi magumu kwa huyu mwanamke, ushauri wenu ni muhimu

    Mmmh hakika wenye tatizo kama lako kumbe tupo wengi,,
Back
Top Bottom