Search results

  1. M

    Binti aliyetelekezwa na Lowassa asema Fred alimtambua na kumhudumia. Lowassa agoma kupima DNA

    nadhani wangetumia tu busara, hapo lengo inakuwa kama kumchafua mzee, haya mambo ni magumu kupata proof ya kimazingira rahisi maana mzee ni wa idara, asingeweza kupiga picha kirahisi rahisi mazingira hatarishi, na picha enzi hizo hazikuwa readily kama siku hizi. Kama nikweli na walimtafuta...
  2. M

    Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    huu ndio udhaifu mkubwa kabisa wa watu wengi, uko nje kabisa ya mada, tumalizane na hili lililoletwa mezani lijibiwe kwa hoja tuhamie kwingine. Huwezi kupelekwa mahakamani kusomewa mashtaka halafu unapewa nafasi ya kujitetea ukaanza kuelezea waliokutuhumu walivyo na makosa
  3. M

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    mbaya sana kufukua makaburi, haya mapichapicha ya nini kama amebadilika na amekuwa muungwana?
  4. M

    Jamhuri kuleta mashahidi watano kesi ya Nondo

    think in and out of the box
  5. M

    Analazimisha watoto wote wasome shule moja wakati si yeye anayetoa huduma

    kwahiyo ww unamuona huyo jamaa mjanja sana? na kwa tabia hizo ulizoeleza za huyo mbwiga anayetoa saport kwa mwanae ndani ya familia ya baba k, eg umri umkwnda, bachela na nimtu wa kubadili vsichana daily bila shaka baba k kuna viashiria kaona na ameamua kudhibiti mapema kunusuru ndoa, mwanaume...
  6. M

    Huyu mtoto asipelekwe kwa Makonda, apelekwe ubalozi wa China haraka

    chung lee chong[emoji16], nacheka tu jina ila inahuzunisha sana kweli mtu unajua kabisa mtoto damu yako umuache, watu wakatili sana
  7. M

    Tunakoelea watu hawataogopa tena jela bali itakuwa ni ushujaa

    hujamwelewa mkuu, soma taratibu utamwelewa
  8. M

    Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    [emoji16] sio kwamba umeona huo uongo-uongo wake kwa stress ulizonazo utakuja kupata kesi
  9. M

    Kufungwa na Wachonga Vinyago wa Mwenge Dar na Wachunga Ng'ombe wa Singida ipi inauma?

    uliachwa na msichana wa kinyaturu, tena uliachwa kwa harau sana, utakufa nalo hilo mbwiga wewe
  10. M

    Mtoto wa marehemu Leyla Mtumwa alivyojaribu kuokoa maisha ya Mama yake

    i like your words, fall in love wit ur head n act like a man
  11. M

    Jirani yangu kaniomba mdogo wake alale sebuleni kwangu kipindi hiki cha sikukuu

    dah ni kweli ila umetumia lugha direct sana mkuu
Back
Top Bottom