Search results

  1. Bhagavan

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Wakuu mwenye link ya kuangalia hii mechi
  2. Bhagavan

    Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    12. Jumla ya magoli kwa mechi zote mbili waizokutana msimu huu ni 7 -2
  3. Bhagavan

    Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    Huu ni uwoga mkuu ni haki ya Team husika kupigania haki zake kwa kile walichokiona na kuthibisha kuwa ni haki kwao. Hizi nadharia za kuingia conflict ni nidhamu za kiuoga na ndio mara nyingi zinafanya mtu kukosa haki yako. Waache wapambanie haki yao mkuu
  4. Bhagavan

    Ushahidi wa video hii ni wazi Yanga ilinyimwa goli hapo jana

    Ilipaswa kuwa goli ndio maana ikatokea. Soo hata kama mamelodi walikuwa wafunge wangefunga tu hata baada ya goli la yanga kukataliwa
  5. Bhagavan

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    All is well All is well All is well.. eeh Mungu tuma malika wako Watupiganie leo hapo mjini Pretoria sisi Yanga tushinde maana si kwa kikosi hiki chenye mashaka
  6. Bhagavan

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Makolo hoja zao wanalazimisha tuamini tutafungwa mechi ya marudiano
  7. Bhagavan

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Hakuna Pacoume, Aucho na Yao Yao hii game tukitoka draw ni ushindi kwetu.
  8. Bhagavan

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Bado kacheza vizuri kajitahidi kumficha Percy Tau
  9. Bhagavan

    Mokwena: Tunaiheshimu Yanga. Kwa watu waelewa hii kauli ni mbaya

    Hawa mamelodi wanavyo ongelewa as if wanacheza malaika kutoka mbinguni na sio binaadamu
  10. Bhagavan

    Kanye West: Prayers are not working

    Wengi hawatokuelewa hii kauli
  11. Bhagavan

    Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

    Futari ya mihogo ni hatari kwa afya ya akili
Back
Top Bottom