Search results

  1. Nguvu moja

    Msikilize Florent lbenge Kocha wa AS VITA, akiizungumzia SIMBA

    . Kocha Mkuu wa klabu ya As Vita Club Florent Ibange amesema kuwa hakuwahi kutegemea kuona katika kundi lao ambalo walipangwa kundi D kama klabu ya Simba ingepita na kutinga hatua ya robo fainali kwani yeye kama kocha wa As Vita Club katika kundi hilo alitegemea kuona timu yake ikipata upinzani...
  2. Nguvu moja

    Tahadhari na wito kwa wana Simba wote

    TAHADHARI NA WITO KWA WANA SIMBA WOTE: Kumekuwa na wimbi linaloendelea sasa mitandaoni la kutoa mambo yanayofanya taharuki au kuleta mijadala milngoni mwetu. Hasa taarifa hizi: 1. Kocha msaidizi fulani 2. Wachezaji hawa wanaachwa 3. Manara kafukuzwa 4. Rufaa kwa mchezaji flani 5. Kocha hafai...
  3. Nguvu moja

    Nimekumbuka miaka ya zamani!

    Enzi ya Mwalimu kulikuwa na majengo kumbi maarufu jijini dar... Tukianzia pale Morogoro road na Msimbazi kulikuwa na kumbi maarufu ya wazee waliopigana vita na mkoroni jina la ukumbi ulikuwa unaitwa Tanzania Legion.. Ukitoka hapo mbele yake kidogo kama unalekea Akiba hiyo hiyo Morogoro road...
  4. Nguvu moja

    Simba SC yanasa siri nzito ya As vita

    Kila mchezaji wa Simba atakayepata nafasi ya kucheza mechi hiyo, anapaswa kuhakikisha hafanyi makosa ya utovu wa nidhamu hasa kucheza rafu zinazoweza kuwapatia wapinzani faulo zitakazotumiwa na wenyeji kufunga mabao. UNAAMBIWA hata kabla msafara wa Simba haujaondoka mapema asubuhi ya jana...
  5. Nguvu moja

    Safari ya kurudi dar hiyo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nguvu moja

    Wanajeshi Gabon 'waipindua serikali' ya Ally Bongo ambaye yuko morocco

    Jeshi nchini Gabon limetangaza kwamba limetekeleza mapinduzi ya serikali katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Wanajeshi wenye vifaru na magari ya kivita wanashika doria katika barabara za mji mkuu Libreville. Amri ya kutotoka nje imetangazwa. Tangazo kutoka kwa kundi la vijana wa umri wa...
  7. Nguvu moja

    Mambo ya Sangoma hayo...

    Eti anakula bitu huku anajifanya anamuwekea dawa[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nguvu moja

    Mambo ya Sangoma hayo...

    Eti anakula vitu huku anajifanya anamuwekea dawa dada wa watu[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nguvu moja

    Hivi hii imekaa sawa kweli makamanda?

    Kama wewe ukiwa mtoto wa kiumeni Asubuhi: unywe chai na maandazi mawili Mchana: ule chips... Usiku: unakula tambi na kulalia hizo hizo tambi, ukiulizwa madai unafanya diet Sasa kwa hali hii si ni hatari sana kwa afya ya nyumbani kwako hata shemeji ukimfumania utaweza kuanzisha varangati...
  10. Nguvu moja

    Kazi zingine hizi yataka uwe na moyo kweli!

    Kwa mguu huo wa bia Rijari lazima utune hapo... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nguvu moja

    Amber ruty na huyu dogo wameoana...

    Ni jambo la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nguvu moja

    Mwezi mchanga!

    Dishi linanesa, nati zimelegea Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nguvu moja

    Ukikutana nae huyu mida ya Saa nane au saba usiku...

    Lazima Uchimbe[emoji125][emoji125][emoji125]
  14. Nguvu moja

    Usimlaumu dobi kaniki ndio rangi yake

    Habari ndio hiyo
  15. Nguvu moja

    Wanawake wa kitanga wana nini? Tangu nikue nasikia ukipata mwanamke wa kitanga uwezi kumuacha

    Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ? Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama...
  16. Nguvu moja

    Huu ni Ukweli usiofichika

    Kubaki na hela za mwaka huu Hadi mwakani ni uoga🙄[emoji19]
  17. Nguvu moja

    Ukiwa na demu chumbani / geto akikwambia maneno kama haya na usipomuelewa basi ujuwe wewe ni boya.

    1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb 2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan...
  18. Nguvu moja

    Jamaa anataka kumalizia shoo hapo hapo kwenye ukumbi...

    Hatari sana.
  19. Nguvu moja

    Kiti kingekuwa na hisia kingefaidi sana mno

    Raha sana kiti kinapata
  20. Nguvu moja

    Huu Urembo wa kuweka makope kwenye macho sio kabisa...

    Ni noma kabisa!
Back
Top Bottom