Search results

  1. omarion5

    Na hamu

    Libido zihusike hapo Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  2. omarion5

    Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

    Jiwe nae aagaze yake moja... naandika nikiwa na akili za usiku Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  3. omarion5

    Sisi wanawake wa miaka Hii Pilau sana... warahisi mpaka Ladha inaisha.

    Eeh Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  4. omarion5

    Tujifunze kusameheana ili tunapoondoka duniani tusiache deni

    Hakika Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  5. omarion5

    Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

    Miaka 20 sasa naishi Sumbawanga na sijawahi kujutia hata Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  6. omarion5

    Spika Ndugai: Tundu Lissu amelipwa jumla ya Tsh.250m ikijumuisha stahiki zake Tsh.207m na Tsh.43m ya michango wabunge

    Mngezitoa hizo pesa Lissu asingeumia kiasi icho Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  7. omarion5

    Tundu Lissu punguza ukali wa maneno, hujui utayekutana naye

    Kama mlishindwa kumzuia Lissu akiwa dodoma kwa kutumia gari yenu ile Nissan Patrol tena haitoshi mkamimina risasi za kuzidi kusudi muitoe Roho yake. Hamtoweza tena kumzuia kwa namna yoyote ile. Mwacheni aongee ni Haki yake kusema Ukweli ili awe Huru Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  8. omarion5

    Kamala Harris: A Firebrand Senator, a Democratic Presidential candidate who 'Dare to talk openly'

    Huyo mama ni kama ana Scandal's ambazo amezifanya hapo Nyuma. Hayo ambayo umeyaona mbele ya screen ni kujisafisha tu. Karatasi nyeupe ikitiwa dowa inakua si nyeupe tena inakua ni karatasi nyeupe yenye dowa Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  9. omarion5

    Asante JamiiForums,nimeukuta Uzi wangu kwenye Instagram page yenu

    Sawa nadhani endelea kutoa mijadala/ nyuzi zenye kuhitaji wachangiaji Wengi zaidi hiyo itakupa motives za kuupata ukweli sababu Jf ni Community kubwa sana na inahitaji kulindwa sana. Mijadala mingi ya humu jukwaani uwa inafuatiliwa sana na viongozi wa Kada Mbali mbali nchini. Hivyo ni vyema...
  10. omarion5

    Makonda ametoa mda hadi tarehe 1/3/2019 wafanyabiashara wote wadogo wawe wamepata kitambulisho kwa 20000

    Kwaiyo kwasababu nyie mabaharia mnasumbuliwa na wanajeshi(sijui kwanini) basi na sisi tulipe kodi? We pambana tu na hali yako mkuu Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  11. omarion5

    Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

    Ongezeni picha jamani hiyo moja haitoshi kabisa. Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  12. omarion5

    Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

    Huo ndo uanaume original kabisa Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  13. omarion5

    Elimu kwa mlipa kodi hakuna, TRA ni nguvu tu

    Tra iko bize 24/7 kukusanya kodi za Walala hoi. Kuiongezea majukumu Mengine ya uitishaji Vikao kusudi kutoa Elimu ingali kila kitu raia wanakijua ni kukosea. Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  14. omarion5

    Tetesi: CHADEMA, kwanini mkutano wa Tundu Lissu na Daniele Viotti unafanywa siri?

    Ha ha ha! Mh. Lissu anaangaisha vichwa vya Watawa sana yaani 24/7 wanafatilia lissu leo yuko wapi? Anafanya Nini? Ni vizuri kama Lissu ilo kaligundua Pia kwaiyo vikao vingine vinakua Confidential. Sio vizuri Watawa mjue kila anachofanya Kamanda wetu, mtetezi wetu. Sent from my SM-J530F using...
  15. omarion5

    Kwanini mpangaji ndiye anawajibika kumlipa dalali(fedha ya mwezi mmoja) baada ya kupangishwa na si mpangishaji?

    Hili uepukane na adha hizo Jenga Nyumba yako. Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  16. omarion5

    Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

    Kwaiyo baada ya muswadaa kuwa Ignored Upinzani ikaamua kutuma Bundi ili kuwatisha!? Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  17. omarion5

    Je, Tv gani ni nzuri na latest

    Yaani pesa hata bado hajaipata na anaipangia matumizi! Vipi nikimuita POPOMA? Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  18. omarion5

    Je, Tv gani ni nzuri na latest

    Duh bado hujalipwa? Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  19. omarion5

    Rais Magufuli ajijengea heshima kubwa duniani kote

    Wa huko Panama sishangai kama wakimsifu Jiwe. Kikombe kinaweza kuwa kuchafu nje na ndani kisafi na kikafaa kunywea Maji. Kikombe kinaweza kikawa kisafi nje na ndani kichafu na kisifae. Sent from my SM-J530F using Tapatalk
  20. omarion5

    Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

    Shujaa aliyebaki hapa Tanzania Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Back
Top Bottom