Search results

  1. K

    Nape Vs Mnyika; Nani zaidi?

    nape obama,mnjuka mugabe
  2. K

    Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

    kumbe mdee nawewe unajipostia huku jf kweli umezaliwa 83
  3. K

    Hussein Bashe: Wabunge wa CCM acheni kupinga kila jambo!

    ccm ni chama sikivu mnamaanisha?
  4. K

    MPYA. Chuo cha IMTU kada wa CCM ashinda uraisi wa chuo punde

    alipenya chadema paka kuwa mwenyekiti wa cdm imtu,leo baada ya uchaguzi aweka wazi yy ni ccm na kiongoz mkubwa wa ccm aondoka nae kwenye gari.nashauri wanacdm sasa kunamkumbo mkubwa kwenye chama chetu so tuwe makini kwa mageuzi ya kweli,nawasilisha
  5. K

    Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

    halima mdee umetutia aibu cdm kwakuwa hauna msimamo wewe muoga alwayyyyyyyyyyyyyyyyyyys
  6. K

    Ukiwa mwana-ccm katika siasa za vyuo ni tatizo

    majina yote ya wagombea wa urais daruso ni wanachadema.tuilaumu chadema kwakuleta siasa vyuoni
  7. K

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    kaulizwa swali na juma wa newala kachemka kujibu kaishia muda wakipind hautoshi kusifia mazuri ya serikali
  8. K

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    slaa kasutwa na jamaa wa newala anaitwa juma kwa swali moja tu je hauoni zuri lolote??? akajibu yapo ila muda wakipindi mchache na elimu imetengewa fedha na nimfano mnzuri
  9. K

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    mbona haujasema pia swali la juma wa newala alie msuta??? dk kakubali kusutwa kasema bajeti inamazuri ktk elimu
  10. K

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    JUMA alimuuliza swali inamaana kila kitu wewe wakosoa tu hakuna kizuri? KATIKA BAJETI AU SERIKALI????,dk akajing'ata NG'ATA hoo oooh oo muda wakipindi nimchache cjuhi nisaa moja tu haitoshi kusifia natoa mapungufu ili kuisaidia serikali na kitabu kimoja chamazuri ya matumizi ya fedha za serikali...
  11. K

    Nape na posho za Wabunge

    soma barua ambayo zito amejibiwa na bunge,kushindikana kwakile alichokitaka cha kubadilisha akaunti no yake toka ile yabinafs kuingiziwa posho na kuomba ile ya taasisi yake ya kigoma.zito unaanza kufulia mipango yako ya kujitaftia umaarufu kuwa nayo makini
  12. K

    Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

    du poleni cdm inauma na inakera kweli na mpaka 2015 hop mikoa yote watakuwa tayar wamehamia ccm.wakati nipo cdm niliwashaur pale wakina slaa waboreshe makazi ya viongoz wa wilaya na mikoa kujenga chama, nikajibiwa cc tutazunguka mikoan kujenga chama wao wajitolee tu,ok am hoping wanaendelea...
  13. K

    Ulimwengu ampa rais ajaye - Dr Slaa - ushauri murua

    NIMEFURAHISHWA sana na makala ya generali ulimwengu ktk gazeti la raia tar 9-14 juni.paragraph ya pili toka mwisho. " SLAA AKAE CHONJO,APUNGUZE HISIA ,AWE M-RAIS[ANEUOTA URAIS]. AJIFUNZE ZAIDI,KAMA BADO ANANIA YA KUWANIA URAIS MWAKA 2015,KAZI ILIYOMBELE YAKE NI KUBWA.AKUMBUKE TU KWAMBA ,RAIS...
  14. K

    CUF hatuendeshi mambo kwa kufuata ratiba za Marekani...

    cuf ni zaidi ya chadema katika no 2
  15. K

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    mjadala unaoendelea sahv itv kasema kunamambo mengi ya kusema kwautajili wa nchi yetu na si vposho vdogo wakati matrilion mapesa yanapotea kwawawekezaji
  16. K

    Zito hajui kiandika vizuri

    kwahiyo mm na zito akili zetu sawa zeni tofautisheni lugha ya chating kwenye cm au jf mladi mtu aelewe lakini si sawa na lugha ambayo eti msomi anaandika kwa bunge.cdm tukimsimamisha zito tumeumia.kwenye chating naweza kuandika................luga badala ya lugha na atavziwi mkaelewa
  17. K

    Zito hajui kiandika vizuri

    Wewe hicho kiswahili ni fasaa wewe ni kiandika au ulizani kuandika? Na wana jf wengi utaona humu wataona nmekosea hilo neno .tatizo shule ndogo.
  18. K

    Zito hajui kiandika vizuri

    SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO
Back
Top Bottom