MPYA. Chuo cha IMTU kada wa CCM ashinda uraisi wa chuo punde

kichapo2015

Member
Jun 10, 2011
23
0
alipenya chadema paka kuwa mwenyekiti wa cdm imtu,leo baada ya uchaguzi aweka wazi yy ni ccm na kiongoz mkubwa wa ccm aondoka nae kwenye gari.nashauri wanacdm sasa kunamkumbo mkubwa kwenye chama chetu so tuwe makini kwa mageuzi ya kweli,nawasilisha
 
katangaza kukihama/kurudisha kadi ya chadema?kama alikuwa mwenyekiti wa chadema manake ana kadi ya chadema huyu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom