Search results

  1. andate

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Okay, kwa hiyo watu zaidi ya laki walitoka maeneo mengine kwenda kupiga kura kwenye maeneo hayo yenye tofaut laki+ ????
  2. andate

    Lowassa sio muarobaini wa matatizo ya Wa-Tanzania

    Inaelekea hata haujui ni kwa nini wabunge wa ccm wanapinga rasimu ya Warioba kwa sasa hivi. Sina muda wa kukuelewesha kwa kina. Kwa kifupi katiba ya sasa inanufaisha chama tawala, chama tawala wanakuwa wafalme na wapinzani wanakuwa wapo jehanum. Ccm wakiwa chama cha upinzani hawataikubali katiba...
  3. andate

    Lowassa sio muarobaini wa matatizo ya Wa-Tanzania

    Unafikiria karibu mno. Lowasa akishinda hatakuwa na nguvu bungeni. Wabunge wengi including ccm watampinga Lowasa na wabunge wa ukawa wataungana na wa ccm kudai katiba. Katiba inapatikana ndani ya miaka miwili.
  4. andate

    Lowassa sio muarobaini wa matatizo ya Wa-Tanzania

    Ndio upeo wako wa kufikiri umekomea hapo. Hata kusoma na kuelewa huwezi. Rudi kasome comment yangu uliyo iquote.
  5. andate

    Lowassa sio muarobaini wa matatizo ya Wa-Tanzania

    Shida yetu ni katiba ya wananchi, Lowasa anatumika kipindi hiki cha mpito. Tunahitaji katiba zaidi ya tunavyomuhitaji magufuli. UKAWA pekee ndio watakaopitisha katiba ya wananchi(rasimu ya Warioba)
  6. andate

    Usivunje mtungi ili kumuua Panya!

    nadhani Makongoro hawezi kupita ndani ya chama. Nadhani ni kati ya Mwigulu au Muhongo, hawa ndio watamprotect JK akitoka madarakani.
  7. andate

    Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

    Dah, Mungu amlaze mahala pema.
  8. andate

    Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

    Don Master alifariki lini? Nakumbuka timu yao ya akina Mbengo, Ghetto boy, Allen Kaliza, Nyimi, Ngao, Mwansasu, Haji, Aggrey, Mwanza, Ingi(Kipaso), Kamsabwedo,Nice guy, Njila, Zola, Kajumulo,
  9. andate

    Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    kama unaona anawaeleza ukweli hatutaweza kujadiliana itakuwa ni kazi kubwa sana kuelimishana, tuache kila mtu aamini anavyoamini..
  10. andate

    Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    tatizo ni kwamba waislam walioenda shule wanapotosha waislam ambao wanatafuta elimu. kama una muda fuatilia hii series ya mahubiri. https://www.youtube.com/watch?v=3Jz7UIr_qxY&list=WL&index=6
  11. andate

    Jamani kumbe hii kitu ina raha yake

    wewe unafaa itabidi nikutafute. hadi cheche zitoke wewe utanimudu, hautakimbia.
  12. andate

    Mikeka yaokoa maisha ya wanafunzi wa chuo

    dah, kiswahili kimekua. nilivyoona mikeka nikadhani wanafunzi wanalala kwenye mikeka.
  13. andate

    Taasisi ya "Usheikh'' na fani ya uigizaji Tanzania

    Hauhitaji hata elimu ya sekondari kujua hawa watu wamelipwa kufanya walichofanya. Njaa mbaya. Wahenga waliposema adui yako muombee njaa, hawakukosea.
  14. andate

    Mikongoraa ni nini? Na ina effect gani?

    kwa Dar sijui inapatikana wapi.
  15. andate

    Swali kwa wanaume na wanawake

    anakufaidi kweli, dah.
  16. andate

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    baadhi ya wanawake ni watafiti wazuri sana. Wametumia ndimu/limao kukata shombo ya samaki, mwishowe wakaamua kutumia ndimu /limao kukata shombo ya kuleee..........
  17. andate

    Message anajibu lakini simu hapokei, huyu atanikubalia kweli?

    hahaha huyo ameshagoma na kitu yake.
  18. andate

    Nimemuachia bill mchunaji

    mdada mmoja alinifuata akaniambia atanipa offer ya lunch somewhere, tukaenda siku hiyo bili imekuja ananipa nilipe, nilishangaa sana.
Back
Top Bottom