Search results

  1. L

    Tume ya Uchaguzi yasogeza mbele Tarehe ya kuanza kuandikisha Wapiga kura kwenye daftari

    Wadau zoezi lilitakiwa lianze february 16 jumatatu ijayo na sio february 19 hapo imekaaje? Lakini leo kuna kikao cha m/kiti wa tume na viongozi gani? Naomba kujua hilo lakini pia sababu za kuhairisha na zoezi litakapoanza litachukua siku ngazi kuandikisha wapiga kura.
  2. L

    Namna ya kupata channel zinazoonyesha AFCON kwenye king'amuzi cha AZAM

    Wadau habari zenu. Naomba mnipe procedures za kuingiza channel za africa magharibi na drc congo kwa yetote anayefahamu. Channel za kawaida azam hakuna hata moja inayoonyesha afcon kwa sasa. Msaada plz wadau. Zile channel mara ya kwanza ulitolewa muongozo hapa namna ya kuingiza lakini azam...
  3. L

    Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

    nipeni ratiba wadau
  4. L

    Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015

    Wadau naombe ratiba ya semi final Leo mapinduzi cup kati ya simba vs POLISI Zanzibar na jku vs mtibwa mechi gani inaanza na NI SAA ngap?
  5. L

    Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma

    Bonge la mvua mkutano wa dr. Slaa songea mkoani ruvuma kwenye viwanja vya s/m matarawe lakini wananchi wanakomaa.
  6. L

    Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    Hivi wadau mtoto wa kaka wa marehemu mvungi ambaye ni padre ni yupi hapo
  7. L

    Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    Dah mbowe kajificha huyoooooo katikati
  8. L

    Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    Hahahahhahaha namuona prof. Sospeter muhongo naye yupp
  9. L

    Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    Mbona mbowe simuoni????
  10. L

    Inawezekana kuomba kazi nafasi zaidi ya moja kupitia sekretarieti ya ajira

    Wadau samahani sana nahitaji kufahamu kama inawezekana kuomba ajira zaidi ya nafasi moja kupitia sekretarieti ya ajira.
  11. L

    Madudu mpya sekretariet ya ajira

    hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau
  12. L

    Nafasi za kazi Jeshi la Magereza!

    wadau kwa wenye tangazo la kujiunga na jeshi la magereza kwa elimu ya chuo kikuu it means professional ebu atupie nilisome. naomba plz wadau tusaidiane kwa hilo
  13. L

    Nafasi za kazi Jeshi la Magereza!

    tangazo linapatikana wapi
  14. L

    Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police

    Jaman wana JF naomben full information kuhusu ajira mpya za kiujiunga na jeshi la polisi mwaka huu kwa sababu ukiingia kwenye mtandao wa jeshi la polis kuna tangazo lao lilelile linalowahusu kidato cha sita waliomaliza mwaka huu tu lakin leo kuna mtu nilikuwa nachat nae kwenye FB ni askari...
  15. L

    NAFASI ZA KAZI MWEZI FEBRUARY 2012- Source mwananchi

    asante kaka huwe una upload na zingine zinavyotoka. thanx
Back
Top Bottom