Inawezekana kuomba kazi nafasi zaidi ya moja kupitia sekretarieti ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana kuomba kazi nafasi zaidi ya moja kupitia sekretarieti ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by luhuwa john, Apr 24, 2012.

 1. l

  luhuwa john Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau samahani sana nahitaji kufahamu kama inawezekana kuomba ajira zaidi ya nafasi moja kupitia sekretarieti ya ajira.
   
 2. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  inawezakana sana. coz usipofit huku, kule, unafit
   
 3. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inawezekana kabisa. Ila kila kazi iwe na application package yake inayojitegemea, ujue hawa jamaa wanatangaza kazi tofautitofauti kwa mfano wanaweza kuwa wametangaza kuajiri afisa utumishi,academic officer,examiniation officer kwa ajili ya chuo kimoja au hata viwili tofuti na ukiangalia qualification walizoweka zote unazo. Inaruhusiwa kuomba zote na kama unafiti zote wanaweza wakakushortlist kwenye zote ila kama ukifanikiwa utakuja ajiriwa kwenye nafasi moja tu mo
   
Loading...