Search results

1. V

Employment vs Politics

Wakuu heshima yenu. Naomba mwenye muongozo wa katibu mkuu juu ya watumishi wa umma wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa mf. Ubunge tafadhali. Natanguliza shukrani.
2. V

Moto mkubwa wateketeza maduka maarufu ya vinyago Arusha

Sasaa walienda kufanya nini kama hawakuwa na maji. It is as good as nothing.....Yaani fire hawa kwakweli hapana aisee... wanatia hasira sana
3. V

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

hivi mi nashangaa sana watu wanavyomtupia lawama kamumba. Baba akunyanyase na asikujali wala kujishughulisha na wewe toka utoto, leo umekua na mafanikio ndio anajitia eti ni mzazi wako! Uzaza ni zaidi ya kumwaga mbegu na kutungishaa mimba jamani. Kanumba alikua na haki ya kueleza hisia zake...
4. V

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Niko kwenye mobile otherwise ningekugongea likes kama kumi hivi. Watu wengine bwana...aaarrgh!
5. V

Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

aiseee umenifungua macho Bishanga! Napitia brandy sasa hivi nim surprise leo.
6. V

Kwa wadada tu..

thubutuuuu! Yaani mtu anipige kisa nimemuuliza yuko wapi? Hee...I reserve my comments for now na pole zake huyo mwanamke ulienae coz amepata tatizo sio mume.
7. V

Wasichana wa Bongo mbona sio waaminifu?

Kwani ni lazima uoe tanzania ambako sio waaminifu? Si uoe huko huko ulikoona waaminifu?
8. V

Hivi 'audience' ya Clouds Fm ni nani?

thread za kike zikoje na za kiume zikoje? I hate mwanaume anaedharau wanawake. Bila uwepo wa u-kike wewe ungekuwepo vipi duniani? Watu wengine mnakera sana...tpuuu
9. V

Wakinadada

well said
10. V

Wenyewe mpoo?

Ahsante AshaDii
11. V

Nyumba ndogo raha bana - wanaume tu

Tpuuuu! Kwaio wewe ukiwa na stress unakimbilia nyumba ndogo? Tena kumbe haimalizi stress bali inapunguza. Natanguliza pole za dhati kwa mkeo!
12. V

Wenyewe mpoo?

Mvumilivu hula mbivu na Mchumia juani hulia kivulini
13. V

Wanaume tukome kuwekeza kwa mahawara!

maraliangono!!! Kwi kwi kwi. Kweli jf inanipa kucheka always. Viva jf na members wake wote
14. V

Wenyewe mpoo?

Hellow wana jf. Nimekua mhudhuriaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu kabla ya kuamua kujiunga. Na hata baada ya kujiunga miezi michache ilopita, sikuwa nimejitambulisha. Nipokeeni niwe mmoja wenu coz jf ina mengi ya kujifunza na kujiburudisha pia.
15. V

Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

Ama kweli imenenwa KUNYA ANYE KUKU, AKINYA BATA KAHARISHA' Kwahiyo we hapo umeona mwanamke ndio hana akili wewe unazo sio eeh? Wewe na huyo binti wote malaya tu coz mmeonana kwa mara ya 1 na wote mkavuliana chupi /boxer. Mwanaume wa kweli hajisifii ujinga wewe. Umekaa unaandika huo upupu wako...
16. V

Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

[Reaserch yako ina data za uongo, data kamili ni kama ifuatavyo.
Wanaume asilimia 100 wanatamani kutoka nje yandoa na asilimia 50 wanatoka nje ya ndoa.
Wanawake asilimia 99.9 wanatamani kuolewa
Wanawake asilimia 100 wanatamani kutoka kutoka nje ya ndoa na asilimia 98...
17. V

Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo ntaambiwa mizizi

Back
Top Bottom