Search results

  1. MALUNGU

    Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

    Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala. Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima
  2. MALUNGU

    CHADEMA ijibu haya

    Wanajukwaa wenzangu ni siku nyingine tena ya kutafakari hatima ya nchi yetu kupitia siasa zetu za kivyama. Binafsi ni mwanachama wa CHADEMA na pia ni kiongozi katika chadema CHASO. Ni muda muafaka sasa kwa chama changu kujibu mapigo kwa chama cha mapinduzi (CCM) kwa mambo ya kihuni na kipumbavu...
  3. MALUNGU

    Chadema yapokelewa kwa kishindo muheza-tanga

    katika hali ambayo haikutarajiwa wakazi wa kata za Genge na Tingeni wilayani Muheza wameapa kuwachagua madiwani wa cdm. Tumeamua kuanza na mabadiliko bila kujali tofauti zetu za vyama. Walisema wakazi hao. Kamanda Mbowe aliongeza amusha amusha ktk eneo la Kerenge then viwanja vya Teule mjini...
  4. MALUNGU

    Lowassa, Mengi, kufanyiziwa kama Kibanda, Lwakatare

    Habari hizi ni kwa mjibu wa gazeti la Tanzania Daima leo jumapili. Afisa Ikulu ahusishwa na mkakati huo, afya ya Lwakatare mbaya na Mwandishi wetu WAKATI sakata la Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare anayetuhumiwa kupanga...
  5. MALUNGU

    Mwanajeshi wa Lema afunguka, asema bora afukuzwe kazi!

    Baada Jeshi la Wananchi wa Tanzania kusema kuwa litamchukulia hatua kali za kinidhamu askari wake aliyeonekana katika picha na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema katika gazeti la Mwananchi la jana, mtu huyo ameibuka na kudai kuwa yupo tayari kufukuzwa kazi kuliko kutoishabikia CHADEMA. Kwa...
  6. MALUNGU

    Pinda kukwepa maswali ya papo kwa papo ili asilie tena bungeni

    Kuna tetesi kuwa mh, Pinda hatahudhuria kipindi cha asubuhi leo Alhamisi ili kukwepa maswali ya papo kwa papo kutoka kwa mh. Mbowe ili kukwepa ile aibu ya kulia bungeni kama mwaka 2009 alivyobanwa na Hamad Rashid kuhusu kauli yake tata juu ya mauaji ya albino aliyoitoa mkoani Tabora kutokana na...
  7. MALUNGU

    Unafiki wa Wabunge wa CCM kujulikana leo

    Leo ndiyo tutajua kama ilikuwa ni hadaa kwa wananchi ama vipi maana ataitwa mbunge kwa jina lake na kusema kama aniunga mkono bajeti au anaipinga. Nani kati yao atajitoa mhanga?
  8. MALUNGU

    Maskini Cloud Fm!

    Cloud Fm ilikuwa inapendwa sana hasa na vijana! Kipindi cha Jahazi Asilia hakina mvuto tena! Tatizo ni nani hapo?
  9. MALUNGU

    Hii Haikubaliki Hata Bila Digrii Yoyote !

    Hv kulikuwa na haja gan ku2mia dege kubwa la jeshi kumsafirisha mh Mbowe?Hata swali 2 hajaulizwa! sio ufujaji wa fedha?
  10. MALUNGU

    Bunge La Bajeti Na Maisha Ya Watanzania

    Bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,huku watz maskini wakilia ugumu wa maisha.Wana-jf kwa wabunge hawa 2tegemee nini?
Back
Top Bottom