Search results

  1. ASA 1

    Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

    Kwanza haiitwi AC inaitwa IC, kutokana na uzoefu inawezekana mkubwa kukawa na hitafu ktk components nyinginezo Kama capacitor, resistor au diode ambazo zipo kwenye power section sema fundi kaamua kukwambia IC ili akupige zaidi au hajui hitilafu ilipo,vyovyote iwavyo inarekebishika na wala sio...
  2. ASA 1

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Dar -masasi hakuna swahili mkuu ,swahili zinaenda Dar -kilwa masoko .Hiyo njia zilijaribu sema haziendi now
  3. ASA 1

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Ipo ina bus moja sijui au mawili chakavu linaenda kilwa
  4. ASA 1

    Tamaa ni mbaya. Angalia kilichomkuta huyu

    Daah mkuuu nimekutafakari sanaa,nimeshindwa kupata jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ASA 1

    Ni mradi gani au ndoto gani ambayo uliumia sana sababu haikufanikiwa? Ipi imefanikiwa na kukupa furaha sana?

    masagati, Daah hatari sana imenitokea hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ASA 1

    Chuo gani Tanzania kipo vyema kwenye kozi ya Computer Science?

    DIT hamna computer science pale Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ASA 1

    Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

    Mkuu soma vizuri tena, inaonekana ujaelewa,usipende kukurupuka ili umkashifu mtu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Ahsante sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ASA 1

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Fafanua mkuu unaongelea vya Ku point au baro zima? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Nifunze mkuu, naogopa kumwagwa damu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Sanasanaa, wanaumiza hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Ahsante mkuu, nishapoa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Yes ,technology imekua sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Ndo kina nani hao? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Maisha bwana yana siri ndefu, unaamka asubuhi ujui utakula nini, inafika jioni unajikuta umekula japo hauna kitu mfukoni.Kikubwa pumzi Sent using Jamii Forums mobile app
  16. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Ahsante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. ASA 1

    Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  19. ASA 1

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Earphone, USB na cherger nenda K.koo mtaa wa Aggrey /Likoma Street Peni, notebook, daftari nenda Uhuru/Congo street
Back
Top Bottom