Search results

  1. Nani Kasema

    Ushauri kwa wana CCM: Kama mnampenda Zitto awe rais 2015, msimamisheni kupitia CCM

    By 2015, Zitto atakuwa ana miaka 39, pungufu ya kile kinachotakiwa kugombea uraisi kwa katiba ya sasa. Hili, bado halijaacha wanafiki na magamba ya CCM hapa JF, kuendeleza pumba zao za kutaka CHADEMA wamsimamishe Zitto mwaka 2015. Ushauri wangu kwao ni huu, Kama mnampenda Zitto kihivyo...
  2. Nani Kasema

    Hivi CCM na mwenyekiti wao taifa wametoa tamko lolote kuhusu mauaji ya kutisha ya m/kiti CHADEMA?

    Sijaliona hili kwenye news. Pasco wa JF yuko wapi when u needed him? Pasco uko wapi ushike bango kama ulilomshikia Dr. Slaa last time? Vipi umepanda kwenye kaburi (na jeneza) ukitafuta wana ccm kwenye mazishi? Just wondering
  3. Nani Kasema

    Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

    Think about it, This president? Kweli? Ufisadi na this president ni kama pete na kidole Hebu fikiria. ninasuburi a huge surprise toka kwa Kikwete.
  4. Nani Kasema

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Fikiria kwa makini alichokisema Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?
  5. Nani Kasema

    Kikwete anahusika moja kwa moja na madhila ya polisi dhidi ya CHADEMA

    Naomba nilete angle tofauti ambayo sijaona imeongelea hapa kuhusu ukatili wa polisi dhidi ya wanachadema Tanzania. Habari ninazosikia ni kwamba, mheshimiwa raisi wa Tanzania Dr Dr Dr Dr Kikwete, ameamua kusimamisha kasi ya mageuzi inayoendelea nchini kwa kutumia vyombo vya usalama. Kama...
  6. Nani Kasema

    Mramba alitishia watanzania kula Nyasi, JK katimiza huu usemi

    Ukiangalia Hali ya nchi ilipo - bei ghali za vitu na Hali ngumu ya maisha. Na ukisoma habari kuwa serikali ya JK imetumia mabilioni kununua jengo huko NY, Basi, utagundua kuwa JK ameamua kutimiza mpango wa serikali ya CCM wa kuhakikisha kuwa watanzania wanakula nyasi. I am just saying
  7. Nani Kasema

    CCM kweli ni Mafisadi, hebu ona hapa

    EPA Buzwagi Meremeta Iptl Richmond/dowans/symbion Mengine yanakuja .....
Back
Top Bottom