Search results

  1. W

    Membe ni kiongozi wa watu na mwana diplomasia aliye komaa mwenye msimamo usioteteleka

    Membe, Ngereja, Wassira, Lowasa, Mwigulu, Magufuri, Januari mwishowe tutaletewa Majimarefu
  2. W

    Hatari...!

    Ndugu, Usiukumu ili nawe usije kuhukumiwa!
  3. W

    Mshahara wa mwezi wa waziri mkuu ni sawa na mshara wa zaidi ya walimu 50

    Ndugu, Ngoja nihesabu mimi naipata hiyo hela baada ya miaka mingapi! Nikipata jibu nitarudi
  4. W

    Updates:Katuni ya LEO!

    Ndugu, Hivi imeandikwaje? "....... ni sehemu gani nyingine ajae ....a?
  5. W

    Katibu wa CCM tawi kishanje apigwa

    Ndugu, Mwanza: Kipigo sio tu ni halali na hali haki yao bali pia wanastahili. Jambo la muhimu lilikuwa ni kuambiwa faida na hasara za hiyo rasmu ya katiba alafu wao wananchi (mmoja mmoja) wachambue ambapo watakubaliana na mapendekezo au watayakataa. Pili: Kwa nini wajumbe wa mabaraza wa katiba...
  6. W

    Hukumu kesi ya Lema tarehe 21-12-2012

    ndugu, Kama CDM walivyoanza na Mungu watamaliza na Mungu.
  7. W

    Fumanizi yaleta balaa kwa mbunge

    Ndugu, Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke Hospital kwa matibabu.
  8. W

    Mapenz ya Facebook

    Ndugu, We ni noomaa!
  9. W

    Hivi vazi la ndani (chupi) lina umuhimu gani kiafya?

    Ndugu, Binafsi sijui na sijui kwasababu leo yapata miaka 13 sivai chupi!
  10. W

    PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

    Ndugu, Mimi lazima niombe changu
  11. W

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Ndugu, HP1 itabidi ushitakiwe kwa kuniweka humu kwa muda wote huu
  12. W

    Ni raha sana

    Ndugu, Ni raha sana pale unapoambiwa umeongezewa mshahara wakati siku nyingine uwa unatega kazikula bata mpaka kuku wa Ni raha sana pale bili ya maji inapokuja '0' wakati umetumia maji mwezi mzima
  13. W

    Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

    Ndugu, ..... hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema ..... Mkutano ulifanyika mble ya ofisi NA sio ndani ya ofisi!
  14. W

    Picha: Mh. Joseph mbilinyi (Sugu) alipofanya mkutano wa hadhara Uyole ya kati - Mbeya

    Ndugu, Chakula, chakula,chakula. Wali kuku ukichanganya na maji ya kilimanjaro lazima M4C ifanikiwe!
  15. W

    Nisaidieni jamani

    Ndugu, Nilikopeshwa shilingi 5,000 na kaka yangu nashilingi 5,000 na dada yangu, nikanunua shati kwa shilingi 9,700.Niliporudishiwa shilingi 300 nikaamua kupunguza deni, hivyo nikampa kakashilingi 100 na dada 100 na nikabaki na shilingi 100. Kwa sasa kaka ananidaishilingi 4,900 na dada shilingi...
  16. W

    CHADEMA Kutikisa Shinyanga leo

    Ndugu, Sina wasiwasi na watu wa Shinyanga kwa masuala ya siasa hasa CHADEMA ila wasiwasi wangu ni packing ya baiskeli zao
  17. W

    Zitto Kabwe, Hashim Rungwe na Kafulila Waanzisha Chama Kipya cha Siasa - CHAUMA

    Ndugu, Sio tu yasemwayo yapo bali hili HIPO. Taarifa za kumpa Bwana Mayunga uwakala wa kushughulikia mambo ya chama zipo za kutosha na wala hapa Mh. Zitto hasingiziwi!
  18. W

    Kesi ya godbless lema........?

    Ndugu, Kwa faida ya nani
  19. W

    Nisaidie kwa hili jamani

    Ndugu, Ni kweli, ni vema wazazi wakakaa pamoja NA ni kweli mtendewa kosa naye anaweza kutenda kosa na pengine kubwa zaidi ILA nilichokiomba ni kuhusiana na sheria inasemaje.
Back
Top Bottom