Search results

  1. N

    Kwanini watanzania hatuna uchungu na nchi yetu?

    Nimependa hii changamoto yako mkuu na kweli hapa unasema openly na transparent kama kweli tunataka tubadilishe hili taifa letu lazima to step up big time kwani tunaishia kuwaangalia hawa ccm na maafa walioyaleta na kila ninageuka nasikia jingine tena. when is these things going to stop? Juzi tu...
  2. N

    Ugandan Women tricked into slavery in Iraq. Tuelimishane na Kulinda Jamii Yetu.

    Ugandan women tricked into domestic slavery in Iraq By Anna Cavell Kampala The BBC has the first detailed accounts of how Ugandan women ended up in domestic slavery in Iraq, and the extraordinary story of their rescue. At least 100 of the Ugandan women who went to Iraq in 2009 remain...
  3. N

    Wananchi Call for PCCB Ifanyekazi Lakini Wahuni Wanapewa Forgiveness Path

    Mkapa atafikishwa mahakamani tarehe ngapi tena? Tusije tukasahau jinsi gani mkapa, rostam, chenge, lowassa na kikwete na hawa wahuni ccm vitu vinavyowapa power. Katiba katiba katiba ya wahuni. Hakunakukubali katiba ya kikwete wala ccm kwani tunajua wanatengeneza huu uhuni tena ili wananchi...
  4. N

    Mkutano wa CCM Mbeya

    Sishangai kwani nape, january, kikwete, sitta, kilango na ccm nzima wote ni elimu ya madarasani tupu. Ukiona chama kinashindwa kutetekeleza matakwa na malengo ya wananchi wanatumia hii tactics ya false argument 'kudanganya wananchi' Ni kweli katika jamii lazima utakuwa na wale wasio na mwelekeo...
  5. N

    Tanzania tunaelekea kufanana na Somalia. What Prevent Tanzania from Perish?

    Kwa sababu umejibu kama kikwete anavyojibu maswali akiwa Tanzania na nje basi shukrani dhaaaati kwa wahuni nyie. Kuwa punguani mara nyingine ni kuangalia maneno yao na matendo yao. Hii topic is for watanzania kuangalia taifa linekwenda wapi kutokana na decisons zenu ila hutaki kujibu kwa sababu...
  6. N

    Jmk hakumwalika swahiba wake el ktk harusi ya yusuph?????

    Sijui kama hili jinamizi kuna haja ya kumjibu ila nataka nimuulize swali, Tanzania tunaongozwa na monarch sio? Basi kama mnataka hivyo basi mkiamua kuzika hata ndugu zenu kwenye hiyo plot ya ikulu mfanye hivyo basi kwani mme-occupy for now? Ukiwa raisi unatakiwa utumie kila uwezo wako kwa katiba...
  7. N

    Hivi ndivyo ilivokuwa kwenye maandamano ya ccm mbeya katika picha!

    Wanaandamana kwa ajili gani tena? Wanalalamika kwa sababu chadema wapo madarakani na hawafanyikazi zao? Kweli kuna wananchi waliowendawazimu mbeya.
  8. N

    Tanzania tunaelekea kufanana na Somalia. What Prevent Tanzania from Perish?

    Short summary of events leading to Somalia we know it today. The problem didn't just appeared and cause all these misery scenes, the failures starts similar to kikwete and mkapa nightmare bizarre economic solutions. Somalia's societal breakdown and the famine that accompanied it were results of...
  9. N

    Jmk hakumwalika swahiba wake el ktk harusi ya yusuph?????

    Si nilishasema huyu kikwete ni mjinga wa kupindukia? Hii nyumba ni ofisi ya watanzania na kitendo cha kutumia hii ofisi kwa ajili ya harusi za ndugu na hata watoto zake au shughuli binafsi ni kuwaeleza watanzania kuwa hamtafanya lolote na nitafanya lolote nitakaloamua. Fedha na mali za...
  10. N

    Bw. vijisenti kuachia ngazi wiki ijayo?

    Hii ni wazi kabisa rostam na chenge wamepewa 'immunity' na kikwete. Kikwete ana vita na Lowassa ingawa naamini wote ni majambazi sioni sababu za lowassa kutengwa na kufanyiwa huu unyama hadharani. Ushahuri kwa lowassa ni ahakikishe anaondoa na uraisi wa kikwete. Lazima lowassa asikubali...
  11. N

    Miaka 50 ya uhuru:tuwatambue mashujaa wa taifa letu

    Michangao yao 'Wanatulea na ndio chanzo cha generation yetu Tanzania' Bila wanawake hakuna Tanzania leo. Hakuna zaidi ya hawa wanawake Tanzania.
  12. N

    Tanzania tunaelekea kufanana na Somalia. What Prevent Tanzania from Perish?

    Hili palachichi hapa chini linaona kazi kubwa ya kufanya analysis na kuaona wizi wa ccm katika hii nchi yetu kwamba halitapeleka watanzania kuchukua silaha na maamuzi mikononi. Nyie ccm jiulizeni chanzo cha vita na machafuko mengi ktka nchi nyingi duniani nini? Huwezi ukanyan'ganya wananchi...
  13. N

    Tanzania tunaelekea kufanana na Somalia. What Prevent Tanzania from Perish?

    Sioni kabisa kinachozuia Tanzania kufanana na Somalia. Kila indication zinaonekana kabisa kwamba tupo katika hali ya kuitwa 'failed state'Sasa hivi tuna viongozi wasiochaguliwa na wananchi na kibaya zaidi hao mafisadi ndio decision makers wa taifa. ukiangalia na kutafakari utaona wazi Tanzania...
  14. N

    Count down on Mzee wa Monduli

    Mr L kufa nao hao magwanda wenzio wanataka kukutosa wakati mmekaa kwenye mkeka na kunywa juice pamoja, ulijua rostam atakutosa kirahisi na wewe cheza na ccm na hakikisha unakwenda na shingo ya kikwete au uraisi wake wakuiba. Ukijitoa tu, kikwete atakugeuka vibaya na kutaka donors wamwone...
  15. N

    Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

    ffu hao na usalama wa taifa
  16. N

    Bashe anataka kumfanya nini Nape?

    Nape kisha uza ubongo na sasa ni maji ya madafu.
  17. N

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Hiyo ndio historia ya siasa za Tanzania na kama kuna mtanzania anajua kikwete anajenga legacy gani basi atueleze ndani JF.
  18. N

    Malecela arudi nyumbani

    Tumesikia kwa watoto wake na hata vijukuu vyao, hilo limerudi Dar. Majuzi tu tulisikia oh hakuwa anaumwa oh alikuwa kaenda kutibiwa na hakuwa hospitalini. Alielipia hizo bills huko nje ya nchi ni wananchi kama kawaida ni mimi na wewe. Sasa tusubiri fisadi lipi litaondoka tena na kwenda UK, India...
  19. N

    Dr. Hosea aitikisa Ikulu...

    Kuna kitu kinamfanya Dr Hosea kushindwa kutimiza expectations ya ofisi yake na Watanzania Kitu tunakifahamu mpaka sasa hivi ni kwamba Dr Hosea alipewa hii position ili kikwete aonekane ni mpiganaji wa rushwa mbele ya donors na hasa US Embassy Tanzania. Ukifuatilia kwa undani zaidi na...
  20. N

    Chadema kuishataki kampuni iliyochapisha karatasi za kura

    Watanzania tusikose kusoma hii report ya uchaguzi kutoka kwa kikwete. Serikali yakiri kura zilifutika • YADAI KARATASI HAZIKUGANDAMIZWA VIZURI na Mwandishi wetu SERIKALI imekubali pendekezo la kutafakari na kuziangalia upya posho mbalimbali wanazolipwa watumishi wa umma, wakiwamo...
Back
Top Bottom