Hakika nimeshangazwa sana na Katibu Wa Uenezi Wa CCM Bw.Polepole eti CCM imeshinda Kwa Sayansi wakati kila binadamu anajua kilichofanywa na CCM kuutafuta ushindi hata Kwa vurugu, utekaji kukamatwa wapinzani, uongo Wa viongozi n.k.Nani hajui kuwa baadhi ya mawakala Wa vyama vya upinzani...
Nimesikitishwa sana Kwa Mkuu Wa mkoa Wa Arusha Bw.Mrisho GAMBO bila aibu huku akijua ni Uongo akiwahutubia wananchi Wa Arusha kuwa Eti Mh.Edward Lowassa kamtuma amwombee Kwa Mh.Rais ili amwombe kurudi CCM.Mh.Edward Lowassa amekanusha vikali taarifa hiyo ya Mrisho GAMBO.Namwomba Bw.Gambo...
Hakika napata wasiwasi na vyama vya Siasa vya Tanzania.Wasiwasi wangu ni ukimya Wa vyama hivyo juu ya MARUFUKU ya kufanya MIKUTANO ya Hadhara. Japo sio mwanasheria lakini Nina uhakika vyama vya Siasa vipo KIKATIBA na shughuli zake zimeainishwa Kwa mujibu Wa Katiba ikiwa ni pamoja na Kufanya...
Watanzania nilitegemea Chama Tawala, Chama kikongwe ktk Afrika CCM kingekuwa cha kwanza KUPINGA Serikali kuzuia Vyama vya Siasa kufanya mikutano ya hadhara.Badala yake CCM ndio Wa kwanza kushangilia na kupongeza uamuzi huo.
Namkumbuka Mwenyekiti Mstaafu Wa CCM Mh.Jakaya Kikwete wakati anaachia...
WADAU naomba tujaribu kujikita kwenye mada tajwa hapo juu kwani nimemsikia Waziri Wa Ardhi Mh. Lukuvi sikuamini Bunge kuwa Wizara yake inatunga Sheria ya kuwataka wenye nyumba wachukue kodi ya kila mwezi badala ya miezi 6 au mwaka.
Rejea: Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi...
UONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
Hakika uongozi wa mabasi ya mwendokasi wanatakiwa waangalie utaratibu mzuri wa kipakia abiria hasa wabeba samaki kituo cha Kivukoni.Wabeba samaki wamekuwa chanzo cha foleni ukataji tiketi kwani hawataki kufuata foleni iliopo.
Wabeba samaki wamekuwa wanatumia nguvu kubwa kuingia kwenye mabasi...
Yanga mmeumia sana na Ushindi Wa Simba DHIDI ya Mbeya city.Mbona Goli la mkono la AMISI TAMBWE macho ya Simba vs Yanga hamkupiga KELELE? Kateni RUFAA basi. Kubalini Matokeo Simba 1 Mbeya City 0
Hakika nashindwa kuelewa hizi danadana za Serikali juu ya kuboresha mishahara Kwa Watumishi zitachukua muda gani.Waziri Wa Utumishi Mh.Mkuchika alisema tayari Serikali IMEWABAINI watumishi 40,000 WALIOGUSHI UMRI.
Kama tayari IMEWABAINI Kwa nini usifanye Maboresho Kwa Watumishi waliobaki...
Jana baada ya kuwaapisha MAWAZIRI, Waziri Wa Utumishi Mh.George Mkuchika alianza Kwa kuwalaumu Watumishi kuwa hawawajibiki ipasavyo. Inawezekana ni sawa lakini Waziri alipaswa kujiuliza kwanini hawawajibiki. Zipo sababu nyingi moja wapo ni kupoteza morali kutokana na Serikali ya Awamu ya 5...
Madaktari mwaka 2016 nilifanyiwa upasuaji Wa uvimbe chini ya kitovu wakati wa upasuaji nilichomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo mwaka 2017 nikaanza kujisikia kama kuna kitu kinanitembea toka mguuni mpaka mkononi na ni kwa sekunde 1 kinaacha. Je tatizo ni nini?
Je ni ugonjwa gani?
Tiba...
Nadhani wakati umefika kwa Serikali kuhakiki digrii zote za watumishi wake ili kujiridhisha iwapo waliingia vyuo vikuu kwa sifa stahili.
Kuna kundi kubwa la watumishi wana digrii walizozipata kwa njia isiyo sahihi.Wapo walioingia kwa sifa ifuatayo:
1.Wapo ambao wamemaliza kidato cha 4...
Hakika watumishi tunasikitishwa sana na Ukimya Wa Vyama vya Wafanyakazi juu ya tangazo la Mh.Rais kuwa hataongeza Mishahara Kwa Watumishi.Watumishi tuliamini Viongozi Wa Vyama vya Wafanyakazi wangekuwa Wa kwanza kushtushwa na kauli hiyo lakini mpaka Leo hawajatoa Tamko na hatua watakazochukua.
Nina omba Waziri mwenye dhamana na Utumishi atoe AGIZO Kwa Wakurugenzi wote Wa Hamashauri kutii maelekezo yake juu ya Upandishaji MADARAJA Kwa Watumishi na kuwarekebishia mishahara yao.Kuna baadhi ya Wakurugenzi wamekuwa wanawakatalia watumishi ambao walipandishwa MADARAJA lakini walikuwa...
Watumishi wa umma wakati umefika wa kuvibana vyama vya wafanyakazi kukutana na Serikali kuzungumzia maslahi ya watumishi.
Nakumbuka Mei mosi 2016 mkoani Kilimanjaro Mh.Rais alikubali ombi la vyama vya wafanyakazi kuboreshewa mishahara na maslahi yao.
Nilitegemea viongozi wa vyama vya...
Wadau tuliambiwa zoezi la kubaini watumishi hewa na wenye vyeti feki limekamilika.Tulitarajia zoezi la Kupandishwa MADARAJA Kwa Watumishi lingeanza lakini mpaka Leo bado halijaanza.
Tunamwomba Waziri Wa Utumishi atuambie ni lini Serikali itaruhusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.