Search results

  1. K

    Shamba linahitajika Bagamoyo

    Mimi ninalo lakini 1 acre ni 12m. Kama uko interested twende kazi
  2. K

    Mahakama ya Karagwe, yatengua matokeo ya vijiji 36 vilivyochukuliwa na CCM

    Wow! Nimependa hiyo. Wakati fujo zinatokea huko sisiem wanapitiaha candidates wao bila kuchaguliwa nilikuwepo
  3. K

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Mimi nafikiri sio fair kupuuza hoja ya malagalasi. Suala la Kafulila kupiga kazi haliwezi kuhalalisha ufisadi wake ktk elimu. Kama anafanya kazi vizuri basi ijulikane kwamba anafanya kwa kutumia elimu gani- ni vizuri tu. Pia, hoja ya malagalasi haimlazimu kueleza kiwango chake cha elimu- mlengwa...
  4. K

    Jaji Shangwa atoa mpya katika kesi ya kakobe....

    Kanisa maana yake original ni watu walioitwa/waliotengwa/waliochaguliwa. Watu hawa hawajulikani mahali popote isipokuwa kwa Mungu anayefahamu mioyo yao. Taasisi zote zinazojiita kanisa huku duniani si kanisa as such. Kwa hiyo hata huo utetezi wa kanisa mama siafikiani nao. Hakuna kanisa mama...
  5. K

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    Nyie mlipomwona anajilizaliza pale bungeni mlifikiri ana uchungu na albino au alikuwa anaogopa asinyang'anywe nafasi ya kuchakachua buku , buku 10, 20, 280 nk? Kwa kweli mtoto wa mganga wa kienyeji (maana ufipa ndo kwenyewe) anaonekana ni simba mwenda pole. Inawezekana hana tofauti na rostam
  6. K

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    wewe unayetetea upumbavu unaofanywa na polisi na sirikali kiofu huna akili nzuri
  7. K

    Moja ya Kauli za Kukatisha Tamaa za JK

    Nitawajengea daraja na mto wake
  8. K

    Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

    Mimi nafikiri huyu blandesi ni house boy huko marekani hana muda wa kufahamu ulimwengu umefikia wapi katika suala la demokrasia na mengine. Mawazo yake bado ni ya kikoloni ukizingatia kwamba bado anawatumikia wakolono huko usa kwa jinsi ambaypo inatofautiana kidogo sana na babu zetu waliouzwa...
  9. K

    Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

    Watu wenye fikra pevu hawawezi kuhukumu mambo kwa misingi ya ukabila. Pdidy unaleta virusi kwenye forum. Hizo sifa mbaya za wahaya unazotaja, na zile nzuri zilizotajwa na mtetezi wao bado zinapatikana kwa makabila mengine ya Tanzania na kwa mataifa mengine. Sioni sababu ya kuziita kwa wahaya
  10. K

    Jambo Usilolijua: Rais Mwinyi - Nyerere hakuwa Mdini wala Mkabila

    No Hijab man. This is not right. You were supposed to give your comments based on the original posts and not just mumbling fragmentary nothings begotten of fuzzy thinking and mental lassitude! Mwinyi's testmony bears an indisputable truth, a documented truth from a person who was of a different...
  11. K

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Nimependa sifa ya mwisho ..."anasikiliza". Hiyo nadhani wengi tunaijua. Anasikiliza anachoambiwa na mkuu wake hata kama si job-description yake. "Zuia maandamano, sema kua habari za kiintelijensia, ua watu, mwagia maji ya pilipili, bambikiza kesi nk" Kweli anasikiliza sana Mwema ila hana maamuzi...
  12. K

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    The ruling party, ccm as it refers to itself, is number one....and this makes the "mkulu" to take the same position as an individual being the chairman
  13. K

    Uchaguzi Mkuu 2015: Mkakati uwe ni kuongeza idadi ya wabunge CHADEMA na siyo kupata Rais wa CHADEMA

    Anachosema mwanzilishi wa post hii ni sahihi kwa maana ya kuongeza wabunge, lakini sioni uhusiano uliopo kati ya kuwa na wabunge wengi na kukosa rais
  14. K

    This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech

    Mzee Mwanakijiji, thank you very much for this inspiring speech. Last week I was watching tbc and they were showing some flash-backs of several events with short speeches of Mwl Nyerere. I was like, "Oh, we really lost a president". I have been reading a lot of your articles on newspapers and...
  15. K

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Tatizo la JK haaminiki. Hata hivyo kama ana list ya majina anaweza kuishia kutumia mbinu yake popular ya kusema "wajichunguze, wapime uzito wenyewe, kisha wajisalimishe mahakamani, na wajifungulie kesi wenyewe". Hiyo ndiyo hekima ya rais wetu. Hataki kusumbuana na mtu ila anataka wahalifu wapime...
  16. K

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Huyu bado ni makinda anacheza makida makida. Huu ni udhihirisho wa wazi wa dhamira ya ccm ya kuwakandamiza watanzania. Kuna mmoja amehoji kuwa mbona waalimu hawapewi teaching allowance, matraffic standing allowance nk? Mtu asiyetaka hoja ya zito inabidi tumweke kwenye kundi la majambazi
  17. K

    BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

    Pamoja na ha hayo Ngekewa, kodi ya wastani pamoja na matumizi yanayotoa vipaumbele kwa mambo kulingana na umuhimu wake, pamoja na kuziba mianya ya wizi kwa kufanya pesa za watanzania zifike mahali zilipoelekezwa na kufanya kazi husika, vitasaidia kwa kiasi kikubwa kukidhi sehemu kubwa ya...
  18. K

    Wabunge wanaolipa uhai Bunge la Jamhuri ya Tanzania

    Ukitoa wabunge wa Clean Development Mechanism (CDM) hakuna bunge hapa
  19. K

    Slaa yupo safi, lakini....

    Sijaona hoja hapa
Back
Top Bottom