Search results

  1. I

    Abood Bus Services ondoeni kero kwa abiria wenu

    Kweli umenena. Kuna kero nyingine unakata tiketi ofisini kabisa hapo UBT, unapoingia ndani ya stend utakuta mtu mwingine anakuomba tiket anakupa nyingine, anakulazimisha kupanda gar ambalo hulipendi maana kuna gari wanasema zinazidi wakipima mzani watu hawayataki kwa sabbu yakizidi ni usumbufu...
  2. I

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Nahitaji chumba self maeneo ya Kimara Ubongo Mabibo.Pia nijuze niandae sh ngapi.Ni pm
  3. I

    Chumba cha kupanga.

    Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
  4. I

    Natafuta rafiki mwanaume

    Hitaji lako kama langu,nipo single nina mtoto mmoja umr 45.Ni PM
  5. I

    Msichana wa kazi(house girl)

    Awe ameisha jitambua
  6. I

    Msichana wa kazi(house girl)

    Anahitajika haraka awe na uzoefu wa kazi hiyo.Mahali ni Moro mjn.elimu angalau form 4.Ni PM
  7. I

    Kiwanja Kiwanja.

    Kipo kiwanja 2 in 1, kimepimwa maeneo ya Tubuyu 88 Morogoro.Bei maelewano,dalali hatakiwi.Ni PM.
  8. I

    Ni sifa gani mtu awe nazo kuwa dalali wa Mahakama

    Naomba kwa wenye uzoefu na kazi hiyo mnijuze kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu .
  9. I

    Unahitaji nyumba /kiwanja kununua na nyumba /chumba kupanga.

    Usihangaike waone mabingwa wa uuzaji viwanja na majumba pia wapangishaji wa nyumba na vyumba hapa Morogoro mjini wapigie simu 0788 244 666.
  10. I

    Maprofesa na wasomi kutoka UDSM ukilinganisha na wale kutoka SUA: Teuzi nyingi zimelenga wanaotoka UDSM

    Sua kuna vifaa kweli kweli vikitumika vizuri nchi itafika mbali,yupo Prof Shemu umpe Mifugo nchi nzima kila mtu atakunywa maziwa.
  11. I

    Picha za wanawake wa Kihaya

    Kama upo vzr tupia picha hapa na uwe unahitaji mme wa kukuoa na uwe series kwa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Moto mchibuyu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom