Search results

  1. A

    Mwakyembe kuanika yanayomsibu ACHOSHWA NA MASWALI YA AFYA YAKE

    Namsubiri kwa hamu kubwa lakini asithubutu kuishia katikati ka ripot ya Rich Mond
  2. A

    Nyerere Aponda Safari za nje Za Rais

    pumzika kwa amani mwalimu nyerere
  3. A

    Eti mponda,nkya, nyoni, mutasiwa na ghasia watumwa na pm kuwasikiliza madaktari

    AAAAA Pinda tena mbona anasifa kuu tatu za mnafki 1.Akiongea anaongea uongo (Alilidanganya Bunge na Wananch kuhusu Mauaji ya Arusha) 2.Akiaminiwa lazima afanye hiyana (Uteuzi wake ulifananishwa na Uteuzi wa Sokoine Akatusaliti kwa kuutetea ufisadi) 3.Akitoa ahadi ni muhali kuitimiza (aliahidi...
  4. A

    Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

    Pamoja sana wakuu tunategemea update toka huko,aminini tu kwamba tuko pamoja japokua hatujaudhulia all the best our hood!
  5. A

    Topic za Kurasa za anti Lulu

    Tehe! tehe! tehe! !!!!!!!!!!!!!!!!! mkuu umenichekesha sana huwa siyasomi hayo magazeti kumbe yanamambo makubwa hivyo
  6. A

    Polisi arusha kuna-ni......?

    Mkuu Mirungi wanayoiuza ni ile waliyowakamata nayo wajasiliamali wadogo thus why wanaiuza bei chee hawana hasara
  7. A

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    Kazeni uzi ma dr msikubali kisha mkarudi nyuma saa ya ukombozi wenu imewadia
  8. A

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Hapa sasa nami naunga mkono hoja,hapa mkuu umenena hujaacha kitu wanafiki wakubwa hawa
  9. A

    Steven Galinoma (aliyewahi kuwa Mbunge) afariki dunia

    R.I.P mbele yetu nyuma yako mheshmiwa pumzika kwa amani
  10. A

    BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

    serikali ya viziwi (ccm ) kwa mipango bwana wamekuja tena na Babu,haya ngoja na tusubiri
  11. A

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    kikwete asicheze na afya zetu ameshatuchezea sana na suala la umeme katika hili hatukubali kamwe waalimu amewazungusha hajawalipa richmond kawalipa huu si ujinga?
  12. A

    Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010

    Hapa ni baada ya machakachuzi vinginevyo huyo babu asingeweza kushinda abadani asilani
  13. A

    Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

    Ni vigumu kuamini any way kifo ni kwa ajili ya wanadamu!!!! Kwa nini Regia? its painfull
  14. A

    Kuchapwa kwa Maggid Mjengwa ni fundisho kwa waandishi KANJANJA?

    Pole ukiweza kusamehe basi weza na kusahau!!!!! PF 3 umechukua?
  15. A

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    The hidden wounds of the heart and soul are often more difficult to diagnose and harder to heal R.I.P HON REGIA MTEMA GOD GIVES AND GOD TAKES
  16. A

    Taarifa: House girl wa Regia naye afariki dunia!

    Duu! R.I.P Dada Mbele yetu Nyuma yako
Back
Top Bottom