Jibu utalipata katika Biblia , Yesu alipopandishwa mlimani na shetani na kuahidiwa Mali ya Dunia kama atamsujudi. Kwa ufupi ni jinsi unavyocheza mchezo wa maisha.
Kama ni kweli hao madaktari wawekwe hadharan ili jamii iwajue. Hao ni "chatu" ndani ya jamii. Wagongwe vichwa wafutike katika USO wa Dunia. Hayo ni maadili ya kidaktari? Hawana hata chembe ya huruma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.