1. Je unamwagilia maji ya kutosha? Kama hapana yawezekana ikawa ndio sababu.
2. Kama unamwagilia maji ya kutosha, je umeweka mbolea yenye madini ya calcium lini? Kama hujaweka jitahidi uweke mbolea ya CAN au yoyote yenye madini ya calcium.
3. Weka shamba lako katika hali ya usafi muda wote.
Nenda Ofisi ya Maliasili ya wilaya ukiwa na copy ya kiwanda ulichotengenezea milango ila kiwe kimesajiliwa pia utoe kibali cha mbao ulizotumia kutengeneza milango. Hapo utapewa TP (Transit Pass) kwa elfu 7au 15 tu.
Habari wakuu.
Miche yangu ya korosho inanyauka baada ya kuuliza wakulima wenzangu wakadai kuna wadudu au ugonjwa unaosababisha miche kufa.
Je huo ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini??
Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho 10.
Relax kijana mwezi January nenda kituo...
1. Takribani 80% ya Watanzania ni Wakulima. Je, utawasaidiaje kunufaika na jasho leo? Mfano:- Wakulima wa korosho msimu 2018/2019 hawajlipwa pesa zao, wakulima wa ufuta msimu 2020 hawajalipwa pesa zao (Mtwara na Lindi) na TMX ingawa wafanyabiashara walishalipa pesa tangu zamani?
2. Ajira kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.