Search results

  1. G

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    Me nafikiri hawa ccm hawajajua maana halic ya hii neno, nashangaa na hii mahakama kwa kutoa agizo eti mh mbowe akamatwe wkt alishatoa taarifa juu ya suala lake, najua wanapata shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa ccm, sasa nafikiri ni mda wao hao wanaotoa maagizo hayo kujua nini maana ya...
  2. G

    Hawa ccm vp???

    Hv haya ma ccm yanakuaje jamani? Utakuta kuna shughuli za kiserikali zinafanyika labda uzinduzi wa madarasa nk, pale mambo ya kichama yanakua hayapo tena, ila utayakuta yamevaa me tisht ya kijani na mikofia yao, me nafikiri ushabiki wa kipumbavu tuachane nao.
  3. G

    Jk aibuuuuuuu.

    Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa barabara itnkayo geita hadi mwanza kupitia kivuko cha busisi, aisee watu wa mwanza mjini hawakutokea jamaa...
  4. G

    safari hii urais zamu yetu

    Haya mambo ya kikabila ndio huwa cyapendi, rais atokee sehemu yoyote ila awe wa Cdm, hata kama GADaff yeye awee tuu, alafu kama umechoka kutuletea mada za akili nenda ukakojoe vidagaa ulale.
  5. G

    Kiti moto pls.

    Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye mbogamboga ndani na ndizi rost, aisee never ever seen b4 ile kiti moto ilikuwa bab kubwa, jamani wale...
  6. G

    Bangi sometimes

    Haahaahaaaaaaaa! Kweli bangi noma,
  7. G

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Mwingine ni mwl sportman, alikua akiingia darasa ananuka sigara mpk kero, akifundisha kidogo anatoka nje anaenda kuvuta kwanza fegi, ahaa pale pale akapewa jina alikua yuko vizuri kwenye mathematics.
  8. G

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Parachichi, huyu mwalimu wangu wa biology f2, alikua anapenda kuita watu wa maparachichi pale pale akabatizwa, cku alipogundua anaitwa hivyo aisee alitembeza bakora drs zima, ila jina halikuisha.
  9. G

    Habari zenu.

    Karibu sana ila usiwe wa magambani arifu,
  10. G

    Naomba nyimbo za Lucky Dube

    Nenda katika yo tube utapata zote, umenisomaeee!
  11. G

    Mh.Rais naomba nyumba ya kuishi

    Wewee! Unataka nyumba kutoka kwa mzee wa kaya? Basi kama una dada ako mzuri amejaa sawa sawa hakika utapata nyumba alafu awe mweupe kidogo kama v....k, nawakilisha.
  12. G

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Demu wako kicheche yani full mapepe atakupa stress badae temana nae, she iz not seattled 100% take care utapotea mjombaa! Ni hayo tuu.
  13. G

    Huyu dada nampenda sana.

    Nina rafki yangu wa kike nampenda sana ila yeye kanipita miaka 2 ana miaka 28 sasa hv, kila cku huwa ananiuliza nitamuoa lini? Me najaribu kumpa sound cause ya umri wake, isingekua umri ungekuta nishamuoa, nataka kumtambulisha home ila najishtukia kuhusu age yake hiyo
  14. G

    Gharama za kufunga ndoa mkoani Arusha.

    Sie wengine bado 2po 2po kwanza, we can tell you nothing, alafu kuoa cku hizi ni kipaji eeh! Au kama vp nitafute twende zetu ktk viti virefu vya counter then kukaidhabu hiyo hela ulinayo mpk sasa, alafu ujue kama huna gx 100, kama wee c wakili, na kama huna mjengo, bac imekula pande yako chalii...
  15. G

    Eti mla poda, na mtoto wa watu ipi kwatu?

    Kudadadeki hii yA LEo kALI MwAnAnGu...! Mh bORa mLAmba MapOUDAa, ila bWABwa kAZi kWEliKWELI NomA tUPu kITaANi
  16. G

    dereva.mbishi

    Hahaaahaahaaa! Walikutana vidume, unakumbuka ile aliyetoa pesa bandia na yeye akauziwa cheni bandia, hapo jino kwa jino.
  17. G

    Hivi hii ni sawa???

    Hi! Mamboz..." naishi ktk nyumba ya kupanga, kuna jirani yangu anaishi na mke wake chumba kinachofuata, kosa ni cku wanapofanya mapenzi yani majirani wote hata usingizi hatupati ni kilio cha utamu kutoka kwa mwanamke na miguno na kidume chake, mwanamke analia kama kapigwa kumbe yupo kwenye...
  18. G

    Too much soda jamani.

    Hi! jf members hope mpo pouwaaa! Mimi na mdogo wangu jamani hawezi kula chakula chochote bila kunywa soda, yani i mean kila anapomaliza kula chakula lazima anywe na soda, kwa cku anaweza kunywa hata soda tatu, yani haiwezekani ipite cku hajanywa soda, jamani wakuu mnishauri nahic kama anaweza...
  19. G

    Dawa ya kuondoa/kupunguza ndevu

    Haaaahaaaaahaaahaaaha, yani ushauri mwingine humu ndani kama nguvu za giza.
Back
Top Bottom