Name: Hamza Issa Omary
Proffesion: Driver/ Teacher
Education level: Bachelor Of Arts and Education since 2015
Subject: History and Swahili
Language: English and Swahili fluently
Location: Dar es Salaam
Category in Driving: Certificate of Driving Class D, C1, C2 And C3 also E
Experience: 3 years...
Ninabiashara ya duka la chakula nilihitaji MKOPO KUTOKA BANK ni ipi Branch nawezafanikiwa mkopo ikizingatia Vigezo hivi nilivyo navyo-:
-TIN NUMBER
-LESENI YA BIASHARA
-HATI YA KIWANJA
-NYUMBA
-BIASHARA YENYEWE
Nb; Location nipo Dar if any nisaidie mawasiliano WhatsApp 0769946412
Mimi Nilihitimu Chuo 2015 Kada ya ELIMU baada ya Changamoto ya Ajira kuwa kubwa nililazimika kujiajiri Kuuza duka la Chakula hapa Dar es salaam.
Nimebahatika kupata Nyumba (Kibanda) lakini Changamoto niliyonayo baada ya kufanikiwa Kujenga hali ya Msingi umekua wa Kusuasua mpaka kuihudumia...
Mm kitaaluma nimesomea Ualimu ngazi Shahada, Nilihitimu Chuo Mwaka wengi tunauita wa Majaribu 2015.
Nimekua Muumini Sanaa wa Kuamini Kujiajiri Kama Nguzo Baada ya Ndoto tulioitegemea Ajira serikalini kuota Mbawa, Tokea Namaliza Masomo nilijiajiri Mwenyewe Kuchoma Viazi na Kuuza Chaja za Simu...
Kwa kuitazama Tanzania ya sasa na Siasa Zake zimEkua na msinyao wa Kitaifa hususani kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Taifa lolote duniani linahitaji Amani, Uongozi Bora , Siasa Safi, na Uzalendo kwa Nchi husika. IPO SIKU
Kulingana na Mtazamo mkubwa wa mafanikio tuliyonayo ambayo hayashabihiani...
Habarini wana Jamvi,
Katika maisha ya kawaida binaadamu wote huishi katika ndoto, na Mara nyingi pa bila kutafakari vizuri waweza ishia ndotoni tu ila kufika kwenye LENGO kuu ikashindikana (common good).
Wanasiasa ni watu wanao penda kuhisi katika nyanja ndogo tu ya upeo wakitaraji makubwa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.