Search results

  1. mosabiy

    Ndugu Lissu kama CCM itaendelea kutumia dini kisiasa basi wageuzie kibao uwakaange kwa mafuta yao wenyewe!

    Unaongeleaa walee waislam wanaosoma saint kunani afu wanajazanaa ofcn mmeshachelewa sana saiv wanapiga kitabu noomaaaa
  2. mosabiy

    Ninatafuta kibarua /kazi

    Ingia kitaa ka c cha kielm
  3. mosabiy

    Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

    Ndio maana nilisema kama una akili timamu. Hadi hapo mwenye akili timamu kaelewa
  4. mosabiy

    Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

    Kuna waislam wa aina mbili 1.Waislam jina(Munafikuna) 2.Waislam waumini 1.Hawa wanamajina ya kiislam pia hutenda kama watendavyo waislam wakiwa mbele ya waislam wenzao au watu wanaofahamu kuwa wao ni waislam hawa huogopa zaidi macho ya watu kuliko Allah 2.Waumini ni waule waaminio hata wakiwa...
  5. mosabiy

    Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

    Unaongelea waislam gani kwani kama kweli una akili timamu?
  6. mosabiy

    Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Waislam wa sasa hawana muda wa kuandamana nao ndo wanatumia mtindo huo kwa sasa
  7. mosabiy

    Waislam mnasemaje kuhusu kuacha kushikana mikono baada ya swala Msikitini?

    Misikiti mingi sana siku hizi kuna sabuni. Tena mingi sana. Huyo jamaa yako hana ajualo
  8. mosabiy

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Sure alitokea? maana nafahamu pia kulikuwa na mkono wa baadhi ya Catholic
  9. mosabiy

    Jinsi ya kutumia Telegram

    API in short unaweza kuzi mod source coda za telegram na kutumia jina utakalopenda tofauti na whatsapp ambapo ni kosa
  10. mosabiy

    Jinsi ya kutumia Telegram

    Karibu Telegram. Mwaka wa 5 natumia hii app. Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp Ila hii ina vitu vya ziada 1.Ni end to end encryptation 2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo 3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000 3.Unaweza hide phone no 4.Ina search...
  11. mosabiy

    Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

    Sio rasmi. Ila fangasi wa miguuni nilitumia kitunguu swaumu na utomvu wa alovera(shubiri) niliitwanga nikachanganya na huo utomvu
  12. mosabiy

    Dar: Jeshi la Polisi lamuhoji Josephat Gwajima kwa tuhuma za kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila

    ISSUE HAPA NI GWAJIMA NA SIO UANZISHWAJI WA VIKUNDI. HIVI VIKUNDI VYA MAKABILA MENGI VIPO TUACHE UNAFIKI JAMANI.
  13. mosabiy

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Tafuta professional certificate kama za Intel Mixrosoft Ibm Google
  14. mosabiy

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Yaani ndugu yangu sio umri tu, hadi watu wa uhandisi walikuwepo wakawa wanatimuliwa
  15. mosabiy

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Ndio Tembelea website husika hata kama hujasoma masuala ya I.T kuna vigezo vyake
  16. mosabiy

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Ila inaweza tokea kama kuna uhaba mkubwa wa fani husika na za kipekee ukiwa na sifa za ziada ila sio kwa udaktari maana mwaka juzi Mgulani kwenye interview walikuwa watu wa MD nyomi
Back
Top Bottom