Search results

  1. S

    Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

    Nafikiri katika hili na wewe inabidi ujitafakari kabla ya kumkosoa mwenzako unaamini yafuatayo ambayo ni ya kiimani tu 1. Unaamini binadamu ana roho kama ulivotamka 2. Unaamini hiyo roho inaendelea kuishi baada ya kifo na unaitakia mema iende peponi 3. Unaamini kuna pepo ambako roho itaenda 4...
  2. S

    Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    "Alitaka uwe mstari wa mbele kama wale mgambo wanaotangulizwa vitani ili wafe wa kwanza." [emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah yaaani umeizungumza as if lengo la mgambo ni kufa wa kwanza
  3. S

    Ndege ya China Boeing -737 Jetliner imepata ajali ikiwa na abiria 133

    Hii Tv series imechangia kuwa na tension kwenye ndege
  4. S

    Vita ya Urusi na Ukraine: Akili na malengo ya Putin nchini Ukraine

    Siasa ya dunia haipo hivo, hakuna mtu yupo huru katika kila jambo, ukitaka kufahamu hilo angalia hata hapa bongo Zanzibar mambo yao mengi yanaamuliwa na sera za bara ingawa inajiona ni nchi kamili na hawaishi kulalamika kila siku. Leo kuna nchi zinamiliki kila aina ya silaha lakini kuna baadhi...
  5. S

    Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

    😂😂😂 Daaah🙌
  6. S

    Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

    Ungetulia ukamuelewa jamaa, naye anapinga chuki ya udini inayopewa Azam media kama unavyopinga wewe mkuu. Ndiyo maana alikuuliza umeelewa alichoandika? Ungerudia kusoma ungemuelewa, ila ukapata jazba wakati wote mpo on the same page
  7. S

    Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

    Kwa maelezo haya nimeridhika kuwa kuna fairness kwa mawakala, kuna watu huko juu wanatoa maelezo kuonesha kuwa wakala unaweza kupigwa anytime, yaani ningeshangaa sana na kampuni za simu zingekuwa za ajabu mtu anacancel muamala bila kuwasiliana na wakala warudishe tu.
  8. S

    China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    Hawa Chinese sio wa kuwaamini sana kivile mikataba yao kiuchumi, jamaa hawaoni hasara kuondoka na mtungi wa oxygen wa mgonjwa wa ICU
  9. S

    Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

    Imeanza tathmini ipoje?
  10. S

    Mabingwa wa ligi kuu (VPL) 2019/2020 mbioni kuweka rekodi ya kibabe

    Mabingwa wa soka Tanzania bara(VPL) msimu wa 2019/2020, pia wakiwa ni mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo ambao wamechukua ubingwa wa msimu huu kwa kuweka rekodi mpya ya kutawazwa ubingwa wakiwa na jumla ya mechi sita mkononi wapo mbioni kuweka rekodi nyingine ikiwa tu watachukua kikombe cha...
  11. S

    Vodacom Premier League VPL | Uwanja wa Taifa: Yanga SC 0 - 0 Azam FC

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. S

    Viongozi wetu wanaamnini nzige wametengenezwa na maadui zetu

    Hivi nzige habari yao inaendaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Simba ni 'threat' katika kukuza mpira Tanzania

    Kwahiyo Yanga iliyosajili magarasa Yikpe na Molinga tena magarasa mengine kibao ikayaacha dirisha dogo inapromote mpira wa Tanzania si ndiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    Simba, tafadhali mtoeni Said Ndemla kwenye kifungo hiki

    Nakumbuka Simba walimruhusu aende nje (Sweden) kwa majaribio mwaka 2017 wakasema amefuzu sijui ikawaje akarudi tena, mwaka 2019 akaruhusiwa tena akaenda Sweden kwani iliishia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom