Search results

  1. Capital G

    Unguja: Wadaiwa kulawitiana kwenye mahabusu ya Polisi

    Dunia haijawahi kupoa, kila siku inakushangaza. Aisee sio mchezo
  2. Capital G

    Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Mkuu watumishi wa umma wana enjoy tu ile job security, ila makato wanayopokea wanalia ndani kwa ndani, acha tu.
  3. Capital G

    Hivi mwanume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako?

    Duh, mkuu unaonekana umri wako bado mdogo sana, samahani lakini. Ila kwa kifupi hizi mambo usiombe tu zikukute.
  4. Capital G

    Mall mpya Jijini Mwanza ni kituko cha karne

    Arusha hii hii ya Dangote?
  5. Capital G

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Yaani jamaa kanyonga na tai nene na miwani yake imeitwa na press kabisa, Bongo ngumu sana.
  6. Capital G

    Hivi mwanume unapataje ujasiri wa kulala kwenye nyumba or appartment ya girlfriend wako?

    Unakuta na kuna wenzio wanalipa vile vile, siku magari yagongane.
  7. Capital G

    Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Si ndio kesho?
  8. Capital G

    Tusiruhusu watu wasio na maadili kuwa role model ya kizaz kijacho

    Mjomba Naseeb kawajaza mashoga kwenye mishe zake sio mchezo, na ndio the most followed, lyrics zake, video n.k kumbuka yule Noel ndio designer wake / anayemvalisha.
  9. Capital G

    Gigy Money asaidiwe

    Basi sawa mkuu, watu wa Daslaam mpo vizuri, business as usual.
  10. Capital G

    Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

    Kweli mkuu hii rule inahusiana na hapa kwa hili aliloleta mleta mda? Kwahiyo hata kutatua changamoto za ardhi, mashamba, miundombinu, hospital n.k huko ni kum - outshine master au sijaelewa Roadmap?
  11. Capital G

    Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

    System ya Stanza haitaki watu smart mkuu, inataka stupid and famous kwa maslahi ya chama.
  12. Capital G

    Gigy Money asaidiwe

    Kwahiyo wanapishana njia tu za biashara? Roger that.
  13. Capital G

    Gigy Money asaidiwe

    Wakaazi wa Dar anasema 99% ya wadada huko wanajiuza, watu wa Daslaam mna lipi la kumwambia bi Gift?
  14. Capital G

    Wakazi wengi wa Uswahilini Dar es Salaam ni viumbe wa ajabu sana

    Imenisikitisha sana, na umasikini wote huu wa hapa bongo, ajira za kujuana na ndugu zetu nao utamu wanautoa kwa kujuana, yaani balaa mkuu.
  15. Capital G

    Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    Kama ni haki yao na wanastahili wapandishwe tu, hii ni kisheria sema tu tunachukulia poa.
  16. Capital G

    Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Aisee, hii ni hatari sana. Na bado wenza imepita? Mtatuua wakuu mtaani pagumu sana
  17. Capital G

    Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Basi waweke regulations na permits wao ndio wasimamie quality yake itumike kibiashara.
  18. Capital G

    Waliomteka Baba Wa Mikel Obi walijuta baada ya habari kumfikia Abramovic

    Jamaa anadhani Roman ni tajiri tu, ni mafia na mtu hatari pia.
Back
Top Bottom