Search results

1. A

Financial partner anatakiwa

Mkuu nakushauri kuuza fremu moja napesa utakazopata ingiza kwenye duka lililobaki. Ukifanya hivo duka moja litanawirika na kodi ya duka lapili pamoja na mfanyakazi wake na umeme zitakuondokea.
2. A

Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

soko likipatikana nijulisheni kwani nataka kushiriki kufuga.
3. A

Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

inna Lillahi wainna ilayhi rajiuun. jina hilo halikufai mkuu kwani utafanana nahao wenye jina hilo.
4. A

Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

Mola awajaalie subra waliopata msiba.... Amin.
5. A

Warehouse na Fremu za kukodi bei bwerere manzese midizini!

sorry mkuu nilifikira cousin wangu kumbe wewe mtu yengine.
6. A

Warehouse na Fremu za kukodi bei bwerere manzese midizini!

tani vipi naweza kupata shamba ndumi?
7. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

bado nasubiri
8. A

Nauza mafuta ya alizeti

Wakuu hiyo halizeti ndio nini kwa kimombo?
9. A

Project funding sources

Du! inaoneka hii si sanda yakawaida inatengenezwa nakutiwa manukato yakila aina tokea Sept. 2009 mpaka leo. Atakaevishwa au kuivaa kwanza nikaburini baadae nipeponi au motoni .... aisee babangu
10. A

Msaada nina mtaji wa Tsh.5 milion nifanye biashara gani?

Ndugu ndele nakushauri rudisha pesa yawatu biashara sio ndoto. If you can not count from one to ten how you can manage to count from thousands to millions?
11. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

Kwani mkuu huyo wa ilala flats anaitwaje?
12. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

Jina lake lautoto anaitwa Fauzi
13. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

---------------------------------- ndio mkuu ni mtu jina lake ni Ali na kioski ni nickname yake
14. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

----------------------------------------------- Mkuu.... I am serious he is my bro and I dont know nothing about him since he went europe ten years ago.
15. A

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Tembelea realclearworld.com/ upate real and clear news za Libya na kwengine ulimwenguni ..... jaribu kwenda uone ukweli.
16. A

Namtafuta KIOSKI (Ali)

Enibodi noo enithing abaut ALI KIOSKI?
17. A

Biashara gani Pasua kichwa....!!!!?

======================= Mkuu unasema kweli au unatani? maana mimi nikotayari kuianzisha hiya project kama utaniunganisha nahuyo mchad
18. A

Nini maana ya mchamaago?

Mkuu Ecoli kama ulivosema: Haya maneno yana falsafa kubwa sana, wanyamwezi nao wanamsemo kama huo igogo lya hakaya likashenyentelegwa ikiwa na maanakaribu sawa na hiyo.
Back
Top Bottom