Search results

  1. Samoney

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Zote zipo mkuu
  2. Samoney

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Yap bado zipo zote F 1 tsh 90-J8 tsh 150
  3. Samoney

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Tecno J8 160,000 Storege 16gb Ram 2gb Haina creak wala michubuko Tecno F1 95000 Storg 8gb Ram 1gb Call 0717-799920
  4. Samoney

    Mke alimkasirikia Mama Mkwe wake

    Iko vizur hiyo story
  5. Samoney

    Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

    Mkuki kwa nguruwe... Kwa maelezo ya wadau wengi Wanaume sisi Huongoza kwa USALITI... Ila mwanamke wako akifanya ufanyayo ww hakuna namna ni kuachwa tu...ili hali wao husalitiwa na kusamehe
  6. Samoney

    Nilimkimbia huyu mdada baada ya kuniomba Shilingi 10,000

    MWANAMKE...UKITAKA MWANAUME(MPZ) AKUACHE WE OMBA TU PESA YAAN WW OMBA TU😅😅
  7. Samoney

    Barabara imejaa maji Tanga

    Baada ya kuusoma uzi huu nikajikuta nawakumbuka ndugu zangu walioko Tanga mashewa...Habar n mbaya nilizo zipata zaidi ya watoto wa 5 wamekufa maji...Huzuni sana...Ila wapo watu hufurahia hii hali
  8. Samoney

    Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Aisee...Mungu atusamehe
  9. Samoney

    Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Ujana maji ya moto. Mara nyingi sisi wanaume hatujali kiukweli. Binti kaomba muda, amini kinacho kuumiza ni hofu. Kapime ndugu na ukikutwa unaishi kwa matumaini yaani ona kama vile vipimo haviko sahihi na uache ngono zembe.
  10. Samoney

    Nauza

    Fridge/freezer Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samoney

    Nauza

    Ha ha ha unalihitaji ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Samoney

    Nauza

    Naliuza kwa bei chee ya sh 280000 laki mbili na themanini halina tatizo nicheki 0676-539663 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samoney

    Stress Free Zone

    Loading................
  14. Samoney

    Kilichonikuta baada ya kupalilia makaburi

    Ila hicho ni kisa chake cha miaka 6 iliyo pita..... Sent from my TECNO-W9
  15. Samoney

    Kilichonikuta baada ya kupalilia makaburi

    SIKU ZOTE AWAZALO MJINGA HUTOKEA, SINA MAANA YA KUKUITA MJINGA mkuu ILA LAITI UNGELITAMBUA HALI ILE TOKA AWALI YOTE HAYO YASINGE KUKUTA... TAYARI ULIJLSHAJUA KUWA KUNA BAYA LILIKUWEPO KWA ISHARA ILE YA KILIO CHA MTT LAKINI ULIPUUZA LAITI UNGEJUA UNGEMUOMBA MUNGU KWA KINA... OMBA MUNGU AKUPE...
Back
Top Bottom