Search results

  1. Liwengi

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Giza maana yake "HAKUNA" kukiwa hakuna maana yake ni giza. Kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwa giza, maana yake haukuwepo, hakuna kitu. Giza tunalozizungumzia hapa ni muhimu kufahamu kuwa ni zaidi ya weuzi tunaofikiria, giza ni hakua, ni sifuri. Nakubaliana na moja hapo juu kuwa giza siyo kiumbe...
  2. Liwengi

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Na mimi ngoja nijaribu kuelezea ninavyofahamu; Mungu aliumba mema na mabaya ili awaone watu aliowaumba kama watampenda na kuzifuata amri zake au vinginevyo. Kwa nini? Mungu ni wa haki, kwa vile ni wa haki, asingependa wanadamu wawe na maisha ya kulazimishwa kufanya mambo ambayo angependa yeye...
  3. Liwengi

    Askofu Mkuu Zachary Kakobe aitwa Uhamiaji Jumatatu kuhojiwa juu ya uraia wake

    kisinja, hivi wewe unaelewa nini kuhusu neno Askofu linapotajwa, hasa tukizingatia kwa upande wa Wakristo? Kama kuna chochote unachoelewa niambie, kama labda hujui, pia niambie mimi nitakuelezea ninavyofahamu.
  4. Liwengi

    Sauti ya Mke wa Waziri Mahiga na Traffic Police aliyetakiwa kupandishwa cheo

    Hiyo red ni kwa Tanzania pekee, vinginevyo hutaeleweka mkuu!...
  5. Liwengi

    Nini Tofauti ya TB Joshua na Mwingira??

    Mambo ya ujuzi wa Neno la Mungu ni magumu sana kwa wale ambao wameathiriwa na kuwa katika kaasisi za kidini. Nataka nimwambie ndugu yangu anayekuwa na mashaka na watumishi wa Mungu hawa, kuwa Mungu anatenda kazi pamoja na watumishi wa Mungu, hatendi kazi yake na taasisi. Zamani nami nilipokuwa...
  6. Liwengi

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Hivi, mnaosema kuwa Kakobe siyo mtumishi wa Mungu na kanisa lake limejaa majini, je watumishi wenu wa mungu wako wapi wayatoe hayo "majini" ya Kakobe na umeme upite?. Mimi nadhani kama hakuna mungu wa kushindana na Kakobe na kuondoa hiyo inayodhaniwa kuwa ni miungu ya Kakobe, basi Mungu wa...
  7. Liwengi

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali; [marudio]

    Watanzania wenzangu. Mimi kwa jina halisi naitwa Bernard Bruno Mwenda. Ninapenda kuwajulisha Watanzania wenzangu kuwa, siku ya tarehe 9/11/2013 majira ya saa 12:30 jioni, nikiwa na usafiri wa pikipiki nikitokea Uwanja wa Ndege kwenda Mwenge, nilidondosha begi kutoka katika pikipiki hiyo. Begi...
  8. Liwengi

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali!..

    Niligundua kuwa begi sina baada ya kufika maeneo ya Mlimani City. Ubungo nilikuwa nalo ndiyo maana nimeandika kuwa lilidondoka kati ya Ubungo na Mlimani City.
  9. Liwengi

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali!..

    Asante sana bwana syruss kwa ushauri wako mzuri. Nitalifanyia kazi wazo lako.
  10. Liwengi

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali!..

    Asante sana Baba V, nasubiri tu muujiza wa Mungu!
  11. Liwengi

    Kupotelewa na nyaraka mbalimbali!..

    Watanzania wenzangu. Mimi kwa jina halisi naitwa Bernard Bruno Mwenda Ninapenda kuwajulisha Watanzania wenzangu kuwa, siku ya tarehe 9/11/2013 majira ya saa 12:30 jioni, nikiwa na usafiri wa pikipiki nikitokea Uwanja wa Ndege kuja Mwenge, nilidondosha begi. Begi hilo nilidondoshea kati ya...
  12. Liwengi

    CHADEMA kinabebwa na majina ya watu na sio sera

    Tuambie sera za ccm unazijua?
  13. Liwengi

    Kwa wale tunaotembea na waume za watu

    Tufanye sasa wewe una mumeo, mmeoana baada ya kuhangaika na waume za watu siku nyingi, mdada mwingine anakuchukulia huyo mumeo na kwenda kufanya naye uchafu hukoooo!........... Kisha unamfumania, je utakumbuka kuwa na wewe ulikuwa unafanya uchafu huo huo kabla ya kuolewa, na hivyo unawaacha...
  14. Liwengi

    Kakobe akemea ushoga - Uingereza watoa agizo sheria itengenezwe

    Bwana Viper, kumbe baada ya kuhangaika sana hatimaye walifanikiwa kuwasha! Nakumbuka muda huo nilikuwa Unguja nilikuwa nasikia wachina walivyokuwa wanajaribu bila mafanikio. Hata wakati fulani inasemekana pale Ubungo transformer zililipuka kwa kujaribu kuu-force ili uwake. Inaelekea Bujibuji...
  15. Liwengi

    Kakobe akemea ushoga - Uingereza watoa agizo sheria itengenezwe

    Ninasikia taarifa za jujuu kuwa, zile nguzo zilizopitisha nyaya pale kwa Kakobe mpaka leo haziweza kupitisha umeme, je hizi ni habari za kweli? Mwenye taarifa kamili tafadhali!
  16. Liwengi

    Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

    Kiongozi lazima uwe na namna ya muonekano ulio na staha, iwe ni katika mavazi n.k. Ingekuwa ni kujivalia tu, bungeni wasingeweka sheria za mavazi, hairuhusiwi kuvaa bukta na fulana au jinsi bungeni. Kwa sababu gani, ni kwa sababu ya heshima ya mbunge. kumbe kuna mavazi mengine kwa hawa...
  17. Liwengi

    Kwanini uzinzi ni dhambi? Arggghh!

    BUJIBUJI!.. Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....! Huyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe? Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia...
  18. Liwengi

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ni ushauri mzuri sana Sindbad. Mimi nakumbuka katika hotuba ya Rais wetu Kikwete kule Dodoma, hakukataa kuwepo kwa mahakama ya Kadhi kwa ajili ya Waislamu, alichokisema ni kwamba inakuwa vigumu mahakama hiyo kusajiriwa na Serikali. Aliwashauri Waislam kuianzisha mahakama hiyo wao wenyewe kama...
  19. Liwengi

    Wanaume someni hii

    Naona bi FaizaFoxy haungwi mkono na wadau wanaojaribu kuchangia mada hii. Mimi kwa upande wangu namwunga mkono kabisa bi FaizaFoxy kwa mchango wake. Ni ujinga kuanza kumlaumu mwanamme aliyeweka mimba wakati hakukuwa na mpango wowote mzuri katika huko kuweka hiyo mimba kwa mwanamke husika...
  20. Liwengi

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Nimepokea taarifa kutoka kwa mmoja wa wakazi wa Unguja amenijulisha kuwa meli hiyo ilikuwa na zaidi ya abiria mia sita. Vyombo vya uokozi bado unaendelea kufanya kazi, manusura wapo.
Back
Top Bottom