Search results

  1. URBAN MONKEY

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco nipo dodoma mjini mtaa kizota ninachangamoto ya nguzo ya umeme ya mradi wa REA imechimbiwa ndani ya kiwanja changu bila kushirikishwa siku wanachimbia nilikuwa safarini ,SAsa nataka kufanya ujenzi nashindwa nguzo imechukua nafasi kubwa pamoja chuma zake mnazochimbiaga chini nguzo...
  2. URBAN MONKEY

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo...
  3. URBAN MONKEY

    Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

    Mkuu hebu nifungue akili kuendesha boda boda kuna uhusiano gani na kuishiwa nguvu za kiume!!!?
  4. URBAN MONKEY

    Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

    Hata mimi nmememshangaa huyu pimbi kweli Afrika kula ugali unadumaza akili, kwani hana mikono et msaada kichwa chake kimawaza kusaidiwa saidiwa
  5. URBAN MONKEY

    Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Daaah nmeirudia rudia nmeambulia part 1,2 na 3 basi
  6. URBAN MONKEY

    Jipatie kombati ya kijeshi ya ngozi

    Kiwanja ntapata maeneo gani kwa bajet ya milion 3 mkuu?
  7. URBAN MONKEY

    Msaada wa tatizo la simu

    Inaelekea kufa hiyo kama sio kufariki.
  8. URBAN MONKEY

    Msaada jinsi ya kufanya laini isipokee SMS wala call mke anasumbua

    Tulia dawa ikuingie, hahaha ila mkeo genius kinoma aisee hapo tulia ukamatwe vizuri.
  9. URBAN MONKEY

    Nahitaji godoro used

    Mkuu bei yako ngapi inakwenda kuna kjana wangu yupo dodoma hapo aje Sent using Jamii Forums mobile app
  10. URBAN MONKEY

    Ushauri wenu ni wa muhimu kwa hili!

    Shtuka hupendwi hapo mapicha picha yote hayo bado huelewi Ataolewa kama Huyo mwingine alivyokuacha kwenye mataa
  11. URBAN MONKEY

    Simulizi kuhusu kazi zangu katika taasisi ya NASA

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabaya Sana nyinyi mnamtendea ubaya engeneer
  12. URBAN MONKEY

    Toyota Landcruiser VX V8 nyeupe namba T 575 DLB

    Huruma ipi sasa mfano mkuu kasema boda boda kaingia kichwa kichwa kweny barabara kuu Si ushenzi huo
  13. URBAN MONKEY

    Toyota Landcruiser VX V8 nyeupe namba T 575 DLB

    Boda boda huwa washenzi Sana baadhi yao
  14. URBAN MONKEY

    Wateule wa Rais acheni kudharau kazi wanazofanya wanakitengo

    Kwahiyo mleta mada nyie ndio wambea wenyewe mnaotajwa Maana umeumia sana
Back
Top Bottom