Search results

  1. E

    Rais Magufuli, Watanzania wangejua hii historia ya Bulyankulu na Mwadui wangelia hata zaidi

    Nakuunga mkono kiongozi, Nafikiri rasimu ya katiba ya warioba ingetufaa kama mchakato wa katiba ungeendelea na kuipitisha kuwa katiba kamili.
  2. E

    Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Mimi nafikiri si busara kulazimisha wengine wafuate matakwa yako, kama kweli umefunga unaweza hata kumpikia chakula mihitaji na akala msosi na wewe kuendelea na funga yako.
  3. E

    Tundu Lissu: Naipenda Yanga, ila siipendi rangi yao inanikumbusha mabaya

    Nakuelewa brother Lisu, hata mimi sipendi. Ila ni kweli Yanga na ccm mkubwa ni yanga kiumri vumilia.
  4. E

    Anachokitetea Lissu kwenye mchanga ndio kinachotokea IPTL

    Lisu si mnafiki, anatukumbusha kuwa ni vizuri sheria zikaangaliwa badala ya kuongzwa na hisia.
  5. E

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Mwishoni watatumaliza maana kila siku mmoja, wawili, watatu. Let us take it serious.
  6. E

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Inawezekana umeshaiona kabla ya mheshimiwa. Mud utaongea.
  7. E

    Jaji Mwalusanya atunae tena.

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  8. E

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Aisee, wanajenga wapi hawa jamaa?
  9. E

    Mfahamu Mkuu Mpya wa Jeshi La Polisi (IGP) Simon Nyakoro Sirro

    Aliteuliwa na Dr. Magufuri mwaka 2006 kuwa msaidizi wa Kova. wakati huo Dr. Magufuri akiwa nani?
Back
Top Bottom