Waungwana nisaidieani mwenzenu sielewi kabisaaaaaa.... Hivi kutafuta vazi la taifa la Tz mwaka 2012 si sababu tosha ya kuwaburuza mahakamani mawaziri wote waliopita waliopewa dhamana ya utamaduni? kwa nini hatukutafuta vazi la taifa miaka ya 60 huko?.. kama zipo sababu za msingi nisaidieani...
Wakati huu ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, naomba wanaJF mnisaidie kujua ulazima wa mfumo unaoruhusu viongozi wetu kuwa na nyadhifa katika mihimili miwili tofauti ya dola kwa wakati mmoja...
Yaani waziri ambaye ni kiongozi wa juu kwenye mhimili wa Serikali, ndo huyo huyo...
Kwanza niwakumbushe wanaJF wenzangu kwamba mustakbali wa nchi hii upo mikononi mwetu wenyewe, wala hakuna mgeni atakayefikiri na kufanya maamuzi kwa niaba yetu-kwa manufaa yetu. Sote tunafahamu ni kwa kiasi gani swala la lugha linalikanganya taifa letu ktk midani ya utoaji elimu kwa ufanisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.