Search results

  1. Kabilimya

    Mpenzi wangu anamimba, je kunauwezekano wa yeye dalili anazozipata kunipata na mimi?

    Wana jamvi, ma professional naomba msaada wenu....kama kichwa kinavyojieleza . Zipo dalili kama homa ,mchoko,kutapika, tumbo kuuma, na vingine vingi. Naomba msaada wenu wadau, Natanguliza shukrani
  2. Kabilimya

    Matatzo ya hedhi

    Mke wangu hashiki mimba pia kwa mwezi anaingia mp mara 2. naombeni msaada wa tatizo langu.
  3. Kabilimya

    MSAADA JINSI YA KUFLASH SIMU YA TIGO

    Naombeni mwenye ujuzi wa kutoa hizi pin lock za simy za tigo itumie laini zote. Simu ni tecno N8 6version
  4. Kabilimya

    Naomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video

    Naomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video Km movie Nyimbo Harusi Nk. Ile rahisi kutumia na iwe free.. Ahsanten naomba kuwasilisha ombi langu mezani. Hp...window 7
  5. Kabilimya

    Nitawezaje Kufufua flashi iliokufa?

    Wana tech...naomba msaada ninaflash yang imegoma kuformatika...inaniandikia window canable to complite the format. Nitumie njia gn ili kuformat flash zilisho shindikana?
  6. Kabilimya

    Ajira mpya serikalini

    Wadau naomba kuhoji..hivi june 30 ni mbali? Selikali ilisema itatoa ajira mpya 9932 kwa ajili ya kufidia watumishi hewa walio ondolewa kabla ya june 30. Na ifikapo mwez wa saba watatoa ajira zingine elf 50 na kitu. Sasa mpaka leo mimi naona kimyaaaa na wala hakuuna tetesi. Hivi tulisoma ili...
Back
Top Bottom