MSAADA JINSI YA KUFLASH SIMU YA TIGO

Kabilimya

Member
May 25, 2017
73
24
Naombeni mwenye ujuzi wa kutoa hizi pin lock za simy za tigo itumie laini zote.

Simu ni tecno N8
6version
 
Unataka kuflash? Au ku unlock?.... Na iyo sim ku unlock mpaka box au download unlocked firmware yake kutoka Needrom.com na uipige full flash kwa SP flash tool au crack ya NCK box...
 
Unataka kuflash? Au ku unlock?.... Na iyo sim ku unlock mpaka box au download unlocked firmware yake kutoka Needrom.com na uipige full flash kwa SP flash tool au crack ya NCK box...
Hilo box linauzwa au lipo freee online
 
Hilo box linauzwa au lipo freee online
Cracks zipo mtandaon za kudownload tu.... Ila box kama hardware box linauzwa..

Ushauri wangu... Peleka kwa mafundi sim walio karibu yako watakusaidia kama huna idea's na hayo mambo, ili usije kujutia baadae kwa kuharbu sim yako....
 
Back
Top Bottom