Search results

  1. The Chosen One

    Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

    Salama jamani kama uzi unavyojieleza hapo kuna rafiki yangu wa kike kapata mchumba na wanamtoto mmoja hadi saivi mipango ya ndoa wanayotoka siku nyingi Ila tatzo ni mama wa mchumba wake(mama mkwe) hamtaki na hanasababu ya msingi...
  2. The Chosen One

    Kina dada hivi ni deko au ni kweli huwa mnaumwa?

    Kama uzi unavojieleza naomba kuwauliza kina dada, ni kweli huwa mnaumwa mnapokuwa kwenye majukumu yenu ya kila mwezi (bleed)? Maana dah! Nimechoka sasa huyu mwenzenu ataniua siku moja
  3. The Chosen One

    Nahitaji utalaamu wenu wakuu

    Naomba kuuliza kuna madhara gani ya kuwalaza kuku na bata kwenye banda moja???.
  4. The Chosen One

    Msaada jamani napotea mimi

    Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi gan cha pesa bado nawarudishia taratibu naombeni ushauri nifanyaje kuachana na mchezo huu
  5. The Chosen One

    Nimetia maguu

    Asee mwana katia maguu humu ndan maelekezo tafadhali mana naona hata cielew AU lugha inanichanganya ila bd napambana taratibu
Back
Top Bottom