Search results

  1. Madrid boy

    Kijana wa kiarabu aliepo kwenye mpango wa kuachishwa masomo kwa kuikashifu Marekani na watu weupe

    Picha inajieleza yenyewe kuliko kuandika sana
  2. Madrid boy

    Naomba kuuliza You tube wanawalipaje Youtuber

    Wakuu kama kichwa kilivyojieleza hapo juu.Nilikua naomba kuuliza hivi Youtuber wanalipwaje??. Kuanzia kwenye viewers pamoja na ad Akhsanten sana wakuu kwa kusoma naamin mtanisaidia.Narudia tena Akhsanteni
  3. Madrid boy

    Vitisho vya Trump kwa Korea Kaskazini vyawafanya wananchi 5 millions kujitolea kujiunga na Jeshi

    Zaidi ya wananchi million 5 wa korea kaskazini wamejiunga na Jeshi la nchi hiyo kutokana na kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuitishia kuiangamiza korea ya kaskazini katika mkutano viongoz wa nchi katika baraza kuu la umoja wa mataifa. Mapema mwaka huu baada ya kupitishwa vikwazo vipya...
  4. Madrid boy

    Naomba jina halisi la movie ya Jeshi la wafu

    Wakuu habari zenu kuna movie niliiona miaka ya nyuma kwa kiswahili tulikua tunaiita Jeshi la wafu naomba official name yake wakuu kama kuna anayejua wakuu Ahsante.
  5. Madrid boy

    Rais Putin amuonya Trump

    Habari zenu wakùu ni matumaini hamjambo.Rais wa Urusi Vladimir Putin amwambia mwenzake wa Marekani endapo atawapa maadui wa Urusi silaha yani Ukraine naye atajibu kwa kuwapa silaha maadui wa Marekani yani kundi la Taleban Rais Putin amesema kipindi nchi ya Urusi inapambana na kundi la Taleban...
  6. Madrid boy

    Je wajua jimbo la Texas lilichukuliwa kimabavu na wakolooni wakimarekani kutoka Mexico??

    Habar zenu wakuu nimatumaini yangu hamjambo.Inavyofahamika sasa jimbo la Texas lipo marekani hili jimbo ni moja ya majimbo yanayopatikana kusini mwa nchi ya Marekani limepakana na nchi ya Mexico.Hili moja ya majimbo yaleyale ya kusini yaliyokua yakitaka kuendelea kwa utumwa hata baada ya...
  7. Madrid boy

    Warusi watengeneza bomu kubwa jipya la nyuklia

    Habari zenu wakùu nimatumaini yangu hamjambo.Inavyofahamika katika umoja wa mataifa (UN)kwamba kuna nchi saba tu zinazomiliki silaha za nyuklia nazo ni Marekani,Urusi,China,India,Pakistan Ufaransa,Wingereza.Hizo ndiyo zinaitwa (Nuclear states) nchi kama Iran,Korea kaskazini zinataka zitambulike...
Back
Top Bottom