Search results

  1. Malo Robi

    MALALAMIKO: BODI YA MIKOPO INAWADHURU HAKI WANAFUNZI WA CHUO CHA DAR INSTITUTE OF TECHNLOGY (DIT) KWA KUWAKATA HELA ZAO ZA ADA NA KUJIKIMU.

    Salaam wanajamvi..... Kama kichwa kinavyojionesha, Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB) na washirika wake pamoja na serikali wameamua kuwakata wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu hela za ada, kujikimu na mafunzo kwa vitendo. Hili jambo lilianza kiutani utani lakini...
  2. Malo Robi

    Uchaguzi Serikali ya wanafunzi: Dar Institute of Technology (DITSO)-2018/2019

    Kama kawaida ya mwongozo wa vyuo kutaka kila chuo kuwa na serikali za wanafunzi kwa ajili ya kushughulikia maswala mbalimbali ya wanafunzi kwa ustawi wao na taaluma yao. Kesho tarehe 01/06/2018 ndiyo siku ambayo wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam kwa msimu wa mwaka 2018/2019...
  3. Malo Robi

    TANESCO mnamhujumu Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli

    Shirika hili mnamuhujumu rais wetu na juhudi zake kwani haiwezekani mkate umeme tangia jana mpaka sasa tena bila taarifa wakati mnajua kabisa rais yuko live leo akifungua mradi wa radar na kupokea ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada! Je tanesco mnataka tusimwone rais wetu live, au mna...
  4. Malo Robi

    Kero ya maaskari wa usalama barabarani (trafic) Morogoro road

    Hawa askari wa usalama wa barabarani(traffic) wa hii barabara hasa hawa wa Kimara wana kera jamani sijui ni kwangu pekee au na kwa wengine. Unakuta ile asubuhi magari yanayoenda Mbezi mwisho kila inapofika saa moja asubuhi anayasimamisha mpaka na nusu na unakuta barabara ni tupu kabisa pande...
  5. Malo Robi

    Wanyama: "Niliwahi kucheza NDONDO Cup ya Kenya"

    Akihojiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra kinachorushwa na Clouds fm Victor Wanyama Anayekipiga na timu ya Totenham Hotspots ya uingereza amesema amewahi kucheza michuano ya mitaani ya huko kwao kama ilivyo hapa Tanzania michuano hiyo maarufu kama NDONDO CUP! Pia ameongeza...
  6. Malo Robi

    Rais angazia suala la vyeti feki taasisi na sekta binafsi

    Salaam.... Kama ilivyofanyika kwa wafanyakazi wa taasisi asasi za serikali kukagua vyeti feki. Naomba hili zoezi lifanyike kwenye taasisi na asasi binafsi ili kuondoa huu uozo. Anza na shule binafsi na vyuo binafsi hasa za hawa wahindi maana uozo ni balaa! -Mtume waziri wako wa elimu mama...
Back
Top Bottom