Duuh wabongo ninavowajua kumaliza hizo coarse inahitaji wajitoe na inatakiwa awepo mtu wakukagua maendeleo nakuwapa mazoezi. Manake ni coarse za chuo za miaka mitatu hizo.
Ila shortcut kwa anaetaka kuwa programmer ningeshauri asome javaScrip deep.
Acheze kwenye kitu kinaitwa MEAN STACK...
Hawa wazungu wanatupeleka peleka sana. Tumehamia kwenye RxJava bado wanaona haitoshi wanatuletea mambo mengine sijui hata wanataka nni.
Watu wamewekeza sana kwenye android kama Samsung, Tecno, na makampuni kibao hata
Nokia nae anajitosa .
Nirahisi ku switch kwenda lang nyingine luliko...
Acheni kuchagua dhambi nyie, kama ni nchi yakislamu je zanzibar inaongozwa na katiba au sharia?
Mlishampiga mawe alie zini au kata mkono alie iba -hapo nikuchagua dhambi tu.
Mungu ndo anaehukumu sasa mnamsaidia sio?
Let God be judge mengine tunaelekezakana nakutumia busara. Binadamu hana...
Nahisi wewepia ni demu, ila kwa taarifa yako kama ndo upo huko serikalini udukuzi mtafanya kwenye mawasiliano yamitandao tu ila encrypted Apps itakuwa ngumu sana.
Nasema hivi sababu nisha fanya coarse ya Security issues, najua how encryption na decryption work. Kama jamiiforums tu inawasumbua...
Nitafuatilia ila umesikia nani kadukua telegram? Unajua signal ni App ambayo snowdon ameipa credit? Unajua challenge imetoka yakudukua nahakuna mshindi? Acha habari zako , hao wadukuzi ni emails na mawasiliano ya simu sio encrypted Apps?
Kama unaeza dukua fanya kwa telegram upate mpunga wako.
Haya matatizo yakudukuliwa niyakujitakia siku hizi .
Hivi mshawahi sikia tigo au voda wakisema mawasiliano yenu yapo secured ( encrypted)?
Inshort kutumia mitandao yakawaida kudukuliwa inaezekana.
Only and only way yakuwa angalau secured ni through instant messaging Apps kama Telegram, Signal...
Hahaha Jose ur multipurpose guy vyote wajua.
But kwa muuliza swali jibu nikwamba huwezi weka window OS kwa Android device kwasababu izo android device zimetengenezwa ku support Vitu vya android pekee.
Pili huwezi change OS ya simu niku upgrade tu.
Apps unazotumia kwenye simu most of them...
Hongera mtoa mada, ila ningependa ongezea kitu.
Kama kweli mtu umedhamiria kuwa nondo kwenye field ya programming basi chagua lugha moja komaa nayo kuanzia
Beginner level,
Intermediate level
Hadi Advanced level
Usionje onje. Soma elewa fanya mazoezi.
Ningeshauri mtu apitie kwenye hizi njia...
Sometimes serious sometime kidding hayo ndo maisha yabinadamu.
Hivi kwa mfano vitufe au kwalugha nyingine button za computer zingelikuwa katika maisha yabinadamu wewe ungelitumia button zipi zaidi kutokana na situation uliyonayo?
Mfano:-
>>Play button
Hapa una switch maisha yaendelee...
Thanks mtoa mada, nimepata kitu leo, watu wanatamani sana fanya hii kitu ila tukumbuke
Good entrepreneur must be neutral to win and lose
Hii kitu sio risk free kiasi hicho inahitaji kutuliza akili tusiwe tuna focus zaidi faida.
"Potential return rises with an increase in risk"
Nipende...
Nilitaka potezea majibizano ila wacha niseme kitu.
Nimeweka izo lang pamoja coz zote ni javaScipt ivi mabano hayaeleweki au
Kama node.js sio javaSript niambie nikitu gani?
Node.js ni javaScript at back-end naifahamu vizuri sana , mtu akijifunza JavaScript basi hasumbuki na Node.
Ktk compny...
Jamii forum nisehemu ya kuelimishana. Swali langu kuuliza kuhusu facebook linajibiwa vizuri na hii link hapa Comparison of HTML parsers - Wikipedia
Angalia comparison za izo html parser angalia latest data za PHP -htlm parser napia angalia ability za php- html parser utajua kwanini hutakiwa...
Thanks kwa michango nimeshafanya maamuzi teyari.
Nitatumia Rome library ROME - Home
Ambayo ni java library
Language ni issue kwa ajili ya parfomance kiongozi
Python wana library poah feedparser na nyingne imekuja na framework ya django nifresh ila problem with me mahaba yangu na kikombe...
Kiongozi, umetisha sana, nina option tatu zakuondika hii kitu, Python, java na php lang ipi itanipa perfomance nzuri na best output.
Php siipendi ipo slow nadhani jamii forum wanatumia php coz updates za info na notification zipo slow mbaya. Plz ur recommendation Sir
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.