Search results

  1. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2) KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2) KUTOA MIZIGO BANDARINI (2) SIFA;ELIMU YA...
  2. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. Kazi: Kufanya declaration na kutengeneza documents katika tancis system(2) ku-process documents shipping lines na kwa consolidators(2) kutoa mizigo bandarini (2) Sifa: Elimu ya sekondari...
  3. V

    Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

    KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING. KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2) KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2) KUTOA MIZIGO BANDARINI (2) SIFA;ELIMU YA SEKONDARI...
  4. V

    Fantuzzi icd yazidiwa

    Wadau, nawaletea hoja nyingine amabapo FANTUZI ICD ,yard inayopokea makontena ya mizigo toka nje au kwa maana nyepesi ni mojawapo ya Bandari Kavu zilizoteuliwa na Kamishna wa Forodha kutunza mizigo inayotoka nje vkable ya kulipiwa kodi na ikishalipiwa wenyewe wanachukua. Yard hii kwa sasa...
  5. V

    Hatimaye utoaji wa leseni mpya za clearing and fowarding watangazwa

    Wadau, Baada ya takriban miaka kadhaa bila kutoa leseni mpya za Clearing and Fowarding hatimaye TRA wametangaza makampuni yatume maombi lakini wakiweka masharti magumu sana ya kifisadi. Masharti hayo magumu ni namba moja na namba tatu. Sharti namba moja linasema'' kampuni lazima iwe na...
  6. V

    Used crankshaft

    Wadau naomba msaada wenu.Nahitaji used Crankshaft ya Engine 5VZ. Nimezunguka sana bila mafanikio. Nitashukuru kwa ushauri wenu na msaada wenu utakaoniwezesha kuipata. Asanteni sana.
  7. V

    Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    Wanajamii inabidi mumfahamu daktari wa TMJ Hospital kwa jina la Kapiteni. Huyu ni mkongomani asiye na adabu hata kidogo. Kila msichana na mwanamke anaeingia katika chumba chake cha udaktari lazima amtongoze kisha anampeleka nyumbani kwake ambako si mbali na hospitali kufanya ngono...
Back
Top Bottom