Search results

  1. holy holm

    Ujue usingizi na umuhimu wake

    yupo tu ana check porn 😂
  2. holy holm

    SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    kipind nipo shule ya msingi tuliambiwa kuwa tukisikia harufu ya pilau chooni mida ya saa saba mchana, tusiseme kuwa eti pilau inanukia, eti huyo ni jini, tukisema tu tutapigwa makofi. nahisi hizo ni nadharia tu.
  3. holy holm

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    unataka kusemaje mkuu 😂😂
  4. holy holm

    Usiforce kutafuta mpenzi mpya kumkomoa wa zamani (ex)

    nimeachana na li mshangazi, natafuta li shangazi lingine ni mkomoe ex shangazi wangu. 😂
  5. holy holm

    Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

    umuhimu utauona zitakapo bomolewa
  6. holy holm

    Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    wapuuzi sana waliona kwenye luku haitoshi wameamua kutufata mpaka huku.
  7. holy holm

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Hata waislam ni hivyo hivyo, yani ngoma ni droo.
  8. holy holm

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    kwanini hayo maswali usimuulize muhusika mwenyewe.
  9. holy holm

    Geita: Walimu washtakiwa kwa Kughushi malipo ya Tsh. Milioni 1.5

    sasa kamilioni nako ni ka hela ka kumfungulia mtu shauri
  10. holy holm

    Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    kwanini mnapenda salamu sana? 😂
  11. holy holm

    Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu

    wakina dada na mashangazi, changamkieni fursa
  12. holy holm

    Jamii inaheshimu kazi yako, siyo sura

    itabidi tufungue kampuni kabisa 😀
  13. holy holm

    Jamii inaheshimu kazi yako, siyo sura

    mbona mashangazi yana tukubali na hatuna kitu.
  14. holy holm

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    queen samia katika upuuzi wenu
  15. holy holm

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    hajui kukimbia wapi, kwenye maji au nchi kavu!?
  16. holy holm

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    ninoma, halafu tulikua tuna vuta maji kwa jenereta na mpira ni lazima uwe ziwani ilikua ni shughul pevu ukiambiwa uka washe jenereta. 😂
  17. holy holm

    Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

    Me nishamshuhudia mamba live, acha asee dude hilo linaogopesha.Nakumbuka kipindi tunalima nyanya kando ya ziwa 2021 hiyo, maliasili wenyewe walimshindwa halafu kulikua na case ya mvuvi kupotea ikawa inasemekana ni huyo mamba.
Back
Top Bottom